Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Mkuu kwa usalama wa uchumi wa taifa letu changa nakuomba usiache pombe........maana uchumi wetu utayumba sana na huduma za kijamii zitakwama........
 
pole sana kwa hilo,hakika mpk ulipo upo ktk hatua nzuri ya tiba,kwanza umeshatambua tatizo,pili umetamani kuacha,tatu unatamani kurudia meditation ya yoga,nne umejihisi huwezi kuacha pombw
soln:fanya maamuzi yafuatayo,anza kupunguza pombe taratibi from hero to zero,pili epuka mazingira na company zinazokupeleka kwenye pombe,tatu tenga muda wa meditation ya yoga taratib hata nusu saa kwa siku huku ukiendelea kuongeza muda mpk utakapoloea kabisa hakika utatoka zero to hero upande huu huku kule ukipotezea,kuwa tiyari fanya maamuzi sasa,maisha ni mipango na kupanga ni kuchagua kila la kheri mkuu

well said. Ni kazi kumfanyia counselling mlevi kwani hula muda wa si chini ya miezi 6. Wengi wao hushindwa kwa ku-relapse na kuurudia ulevi. Mtafute counsellor hapo ulipo atakuongoza kuuepuka na kuuacha ulevi.
 
Uko Wapi Kuna Dawa Kabisa Kamanda Kwani Hata Mimi Mwenyewe Nilikuwa Na Taabu Kama Hiyo Na Nilihangaika Sana Lakini Baadaye Nikaja Pata Permanent Solution..Kuna Mama Mmoja Aliniwekea Dawa Fulani (mpaka Sasa Sikujua Ni Nini) Kwenye Mchanganyiko Wa Aina Ya Pombe Zote Nilizokuwa Ninakunywa Na Kuniambia Ninywe Mchanganyiko Ule Wenye Dawa.Nami Toka Hapo Sijui Kama Nilishakunywaga Pombe,yaani Kama Vile Sijui Ladha Ya Pombe ilhali hakuna ambayo sijakunywa iliyoko sokoni ya ndani na nje ya nchi.
 
Nipo Dar maeneo ya air port mkuu!!nitashukuru sana Kama nitapata dawa!!
 
Mkuu kwa usalama wa uchumi wa taifa letu changa nakuomba usiache pombe........maana uchumi wetu utayumba sana na huduma za kijamii zitakwama........

Slip salary yangu inatosha kuchangia uchumi kwa income tax!!!hahahaaa eti uchumi utayumba!!!
 
kilichokuanzisha pombe ndicho ita kufanya uache. Ukijitambua huwezi kushindwa kuacha kitu kinachokupa madhara. hilo sio mpaka uokoke au ushauriwe na Daktari. Pombe ina madhara mengi hata kama hutaacha Leo ipo siku ukajikuta unaacha kwa kulazimika. Mwenzio nilikuwa siamini kama inawezekana kuacha pombe lakini sasa najiuliza hivi kwa nini nilijiingiza kwenye umwaji wa pombe??...najiuliza hivi mtu anawezaje kunywa pombe na madhara yote yanayoonekana?.
 
kaka pole sana na matatizo. Hongera kwa kuweza kufanya meditation na yoga. tatizo la pombe linatibika kama upo tayari kufuata matibabu. matibabu haya hutolewa na psychiatrist au clinical psychologists pia wanaweza kukusaidia kuendeea na meditation (sina hakika sana na yoga) pia kuna kitu kinaitwa mindfulness. Matibabu ya pombe hutolewa kwa njia ya therapy inayoitwa motivational interviewing lakini pia kwa kua kulikua na stressors wanaweza kukusaidia na stress management. kwa maelezo zaidi tufollow instagram psychological_support_tz na like FB page yetu @ Psychological support and mental health awareness
 
Last edited by a moderator:
Ni miaka zaidi ya kumi na tano kila nikijaribu nashindwa!!!
Great thinker what can i do so that never and never take in any alcoholic drink!!!!!

Lile zuri nilipendalo silitendi,Lile baya nisolipenda ndio natenda!!!!!!!!!!
 
Karibia kwenye ugoro,ne nwenyewe nilikuwa zaidiyako ila nipo safi
 
kiukweli watu hawasemi ukweli, wanaficha, afafhar yako umesema, wengi wanakunywa ...kunywa sio kitu kizur..binafs nimeacha.

na nitaaca kabisa. na nimekusudia, nimeacha.

najenga kibanda changu, ile 2300 nampa fundi nikiipigia hesabu bia kumi. 23000/= nampa fundi...nakusanya materials.

fundi ananirekebishia leo hiki kesho kile...lkn pombe isn't a good terminology
 
hakuna cha mungu, mungu hakataz pombe tu. hata umalaya, wizi kitimoto, dhulma mbona vyote hivyo havisemwi...pombe ina immediate impact kwako ma jamii....mfano budget, utomvu wa nidhamu mf kukosa busara nk
 
Hata wewe hujavitaja vyote hapo!! Tunaposema Pombe haina maana vingine tunavikubali,ila mtoa mada ameuliza kuhusu Pombe tu,acha kukurupuka!!
 
Back
Top Bottom