KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mkuu kwa usalama wa uchumi wa taifa letu changa nakuomba usiache pombe........maana uchumi wetu utayumba sana na huduma za kijamii zitakwama........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana kwa hilo,hakika mpk ulipo upo ktk hatua nzuri ya tiba,kwanza umeshatambua tatizo,pili umetamani kuacha,tatu unatamani kurudia meditation ya yoga,nne umejihisi huwezi kuacha pombw
soln:fanya maamuzi yafuatayo,anza kupunguza pombe taratibi from hero to zero,pili epuka mazingira na company zinazokupeleka kwenye pombe,tatu tenga muda wa meditation ya yoga taratib hata nusu saa kwa siku huku ukiendelea kuongeza muda mpk utakapoloea kabisa hakika utatoka zero to hero upande huu huku kule ukipotezea,kuwa tiyari fanya maamuzi sasa,maisha ni mipango na kupanga ni kuchagua kila la kheri mkuu
Uko Wapi Kuna Dawa Kabisa Kamanda Kwani Hata Mimi Mwenyewe Nilikuwa Na Taabu Kama Hiyo Na Nilihangaika Sana Lakini Baadaye Nikaja Pata Permanent Solution..Kuna Mama Mmoja Aliniwekea Dawa Fulani (mpaka Sasa Sikujua Ni Nini) Kwenye Mchanganyiko Wa Aina Ya Pombe Zote Nilizokuwa Ninakunywa Na Kuniambia Ninywe Mchanganyiko Ule Wenye Dawa.Nami Toka Hapo Sijui Kama Nilishakunywaga Pombe,yaani Kama Vile Sijui Ladha Ya Pombe ilhali hakuna ambayo sijakunywa iliyoko sokoni ya ndani na nje ya nchi.
Mkuu kwa usalama wa uchumi wa taifa letu changa nakuomba usiache pombe........maana uchumi wetu utayumba sana na huduma za kijamii zitakwama........
Hujaamua pombe ni rahisi sana kuacha kuliko sigara kitu inakaa kwenye chupa mpaka leo haijanenepa nuiya na uitolee maneno mazito
Jiweke karibu na Mungu na uwe mtu wa Ibada utaacha tu.
hakuna cha mungu, mungu hakataz pombe tu. hata umalaya, wizi kitimoto, dhulma mbona vyote hivyo havisemwi...pombe ina immediate impact kwako ma jamii....mfano budget, utomvu wa nidhamu mf kukosa busara nk