Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

1485354517260.jpg
 
jamani karibuni sana na nawashukuru sana ndugu zangu arusha , moshi, dar es salaam na moro
 
Ni Kazi kubwa sana Binadamu kubadili tabia,
Ulevi ni tabia ya mtu na Ulevi una hasara nyingi tukubali au Tukatae.

Mfano.
kama unakunywa Bia Tatu kila siku weekends unakunywa tano ina maana unakunywa Bia 25 kwa wiki, Na nyie wa maofisini mnaknywaga windhock na Heineken that means ni Tshs. 3000 kwa bia.

Kwea mwezi ni 100 Beers at minimum kwa mfano hii 300,000 kila mwezi ungekua unanunua hisa za CRDB leo ungekua na hisa ngapi?

Ni mambo mangapi umefanya kwaajili ya ulevi yakakusabishia hasara?

Ukiajiangalia kwenye kioo huoni adhari za pombe usoni mwako?

Ni dini ipi inarhusu ulevi?

Muda unaotumia kulewa ungekua unasoma vitabu leo IQ yako ingekuwa tofauti kabisa!!!

Ni mara ngapi pombe imekupeleka kwenye mchepuko.

Ni mara ngapi unatoka Mbezi unaenda kunywa Tabata? hiyo gharama ya usafiri unaipigiaga mahesabu.


Hatua ya kwanza kuacha kunywa ni kuyawaza hayo hapo juu na mengine, ukishachukua hatua sasa naacha au napumzika jiwekee malengo.

Anza mazoezi, jioni unapotoka kibaruani fanya jogging! uchoshe mwili, ukienda kuangalia mpira bar agiza chupa yako kubwa ya maji ya kilimanjaro, au coka na maji mdodo mdogo unazoea.

Hali ni ngumu wazee, tupunguze matumizi yasiyo ya lazima
 
Pesa ipo acha watu walewe huyo anayenunua anajiweza na pengine hata hizo hisa anazo kila mtu na bajeti yake katika starehe..mi ntamshaangaa yule anayelewa alfu nyumbani haachi hata hela ya chakula cha familia
 
*Heshima kwa walevi wote*

Hawa jamaa wana sifa zote nzuri na mbaya moja tuu ya ulevi.

1. *Wanajitoa sana*
Hawa jamaa wanatoa sana sadaka na rambirambi. Angalia hata kwenye magrupu yenu ya watsapp na fb. Utaniambia.

2. *Si mabahili*
Hawa jamaa wanajitoa sana kwa kila kitu. Na huwa hawapendi ku bargain. Yaani mwambie inahitajika 10,000 atakupa bila kuuliza ya nini?

3. *Sio waoga wa kufanya maendeleo*
Hapa angalia idadi ya walevi walio na magari na nyumba. Afu angalia waso kunywa pombe wana nini?, wamepanga au wanajenga?

4. *Wana peana mawazo kuntu wakiwa bar*
Hawa jamaa wanapo nunuliana pombe huwa wanapeana michongo ambayo asiye mnywaji wa pombe hawezi ipata.

5. *Ndoa zao zinadumu muda mrefu*
Hawashindi nyumbani muda mrefu inawafanya ndoa zao zidumu, kwakuwa hawana muda wa kukaa na kuanza kugombana na mke wake, wala kujadili upuuzi.

*Jitahidini kunywa pombe kwa maendeleo yako na ya Taifa*

*Kama si mlevi jitahidi kufuata kanuni za walevi hapo juu, najua itakuwa ngumu*

Kwakweli najivunia kuwa MLEVI
 
Mtoa mada

Ww una hisa CRDB??

Ww una IQ kwa kusoma??
Nk

Maisha ni kuchagua na kichagua ni.kuamua

Mda unaopoteza kusoma vitabu mimi nitasoma.articles na then nakutana na.majamaa huku tunapata.bia na.kudiscus mambo msingi

Wala soda.ndio wanaongoza kuwa na mawazo ,stress kibao..wkt ww unapoteza muda kutafakar mm naenjoy beer juu kiti kirefu

Unasema uongo wanaongoza kuchepuka ni wale ambao hawatumii beer au wanakunywa bia kwa lengo la kupata girls...mlevi.mashuhur huwez poteza muda kisa mapenz na kuacha bia....umetudharau sana mkuu

Omba msamaha kufananisha ulevi wa beer wa vitu vya kijinga kama mapenz

Na pia jua ktk ulevi wa pomne wapo wasio jielewa ambao pombe zina wana control na sio wao wana.control pombe

Kwa ushaur wako ungezumzia wale wasio weza.kujicontrol

Hivi wajua mlevi wa.pombe anae jielewa ni afadhali kabisa kuliko mtu ambae amekuwa addicted na.DINI??

Ulevi sio pombe tuu sema wengi hawana pesa.ndio wanatafuta vijisababu ,wangekuwa nazo.na wao wangekuwa wanatungua kama kawa

Ulevi mwingine.ni
DINI
DRUGS
POLITICS
EDUCATION
NK
 
Ikitokea watanzania wote wakaacha kunywa pombe kabisa vipi hali ya uchumi wetu itakuwaje??

Ha ha ha ha ha, Haiwezekana wote wakaacha ni ngumu sana jombaa, Mimi nashauri kwa yule anayeweza kuacha aaache, na ninaamini kuna faida nyingi sana kwa anayeacha pombe kuliko hasara
 
Ndugu hebu tupeane elimu basi, Ulipoacha hukuwahi kupata kiu?
Siku moja nililewa nipoinama chini kuvaa vzr viatu nilitokwa na damu nyingi kuani,nikalala ziliponiisha nikaenda hospital nikaambiwa sina tatizo,tangu siku hiyo ndo nikaona ni upumbavu nitakuja kufa nikaachaa nikaanza na balitika na maji,mara juicy saaa hv naenda bar nakunywa soda tu narud,lkn nilishafikia kumaliza cret au grants kubwa 3 na nakuw mzima natembea mwenyewe
 
Back
Top Bottom