Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Siku moja nililewa nipoinama chini kuvaa vzr viatu nilitokwa na damu nyingi kuani,nikalala ziliponiisha nikaenda hospital nikaambiwa sina tatizo,tangu siku hiyo ndo nikaona ni upumbavu nitakuja kufa nikaachaa nikaanza na balitika na maji,mara juicy saaa hv naenda bar nakunywa soda tu narud,lkn nilishafikia kumaliza cret au grants kubwa 3 na nakuw mzima natembea mwenyewe
Pombe inatia hasara sana mkuu,mie nilikuwa natoka na laki moja na nikikutana na kampani yangu ndani ya masaa matatu kilo imeisha nilikuwa natembea na card mfukoni ilifikia mahala beer zikinoga nampa mtu kadi na password anaenda kuchukua pesa mie niko baa tunakula beer,kuna siku nilimuagiza Rafiki yangu akaenda akachota na yeye za kwake niliumia sana,kifupi tungi inahasara kubwa kuliko faida,nashukuru mungu alinisadia kupitia Rafiki yangu mmoja ambaye tulipokuwa tukitoka kazini ananigada na kunishawishi kwenda kucheza darts badala ya kwenda kwenye zile kampani za hatari mwisho wa siku nashukuru nilifanikiwa kuacha pombe.
 
Waarabu hawanywi Pombe, Wazungu na Wachina wanakunywa, nani mwenye maendeleo kati ya hao? Urusi inaongoza kwa kunywa Pombe kuliko Tanzania, nani masikini?.

Kuywa pombe kutegemea na kipato chako. Kama kipato changu ni 1.6M kwa mwezi, nikinywa pombe za laki moja kuna tatizo gani?
 
Unywaji wa kipumbavu huo, mimi siko tayari kunywa zaidi ya elfu kumi
 
Waarabu hawanywi Pombe, Wazungu na Wachina wanakunywa, nani mwenye maendeleo kati ya hao? Urusi inaongoza kwa kunywa Pombe kuliko Tanzania, nani masikini?.

Kuywa pombe kutegemea na kipato chako. Kama kipato changu ni 1.6M kwa mwezi, nikinywa pombe za laki moja kuna tatizo gani?
Haha umenikumbusha. Beer ilikua inatambulika kama soft drink (kama soda, maji, juice n.k) nchini Urusi hadi kufikia mwaka 2013 ndio ikatambulika kama kilevi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ni Kazi kubwa sana Binadamu kubadili tabia,
Ulevi ni tabia ya mtu na Ulevi una hasara nyingi tukubali au Tukatae.

Mfano.
kama unakunywa Bia Tatu kila siku weekends unakunywa tano ina maana unakunywa Bia 25 kwa wiki, Na nyie wa maofisini mnaknywaga windhock na Heineken that means ni Tshs. 3000 kwa bia.

Kwea mwezi ni 100 Beers at minimum kwa mfano hii 300,000 kila mwezi ungekua unanunua hisa za CRDB leo ungekua na hisa ngapi?

Ni mambo mangapi umefanya kwaajili ya ulevi yakakusabishia hasara?

Ukiajiangalia kwenye kioo huoni adhari za pombe usoni mwako?

Ni dini ipi inarhusu ulevi?

Muda unaotumia kulewa ungekua unasoma vitabu leo IQ yako ingekuwa tofauti kabisa!!!

Ni mara ngapi pombe imekupeleka kwenye mchepuko.

Ni mara ngapi unatoka Mbezi unaenda kunywa Tabata? hiyo gharama ya usafiri unaipigiaga mahesabu.

Hatua ya kwanza kuacha kunywa ni kuyawaza hayo hapo juu na mengine, ukishachukua hatua sasa naacha au napumzika jiwekee malengo.

Anza mazoezi, jioni unapotoka kibaruani fanya jogging! uchoshe mwili, ukienda kuangalia mpira bar agiza chupa yako kubwa ya maji ya kilimanjaro, au coka na maji mdodo mdogo unazoea.

Hali ni ngumu wazee, tupunguze matumizi yasiyo ya lazima
Mkuu ukisema pombe inatia hasara nakushangaa sana nimejenga si chin ya nyumba tatu,na biashara kibao na usafiri upo ni akil tu yako na maisha yako unategemea kunywa pombe kwa laki tatu yako ya mshahara [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] so sad
 
Ni Kazi kubwa sana Binadamu kubadili tabia,
Ulevi ni tabia ya mtu na Ulevi una hasara nyingi tukubali au Tukatae.

Mfano.
kama unakunywa Bia Tatu kila siku weekends unakunywa tano ina maana unakunywa Bia 25 kwa wiki, Na nyie wa maofisini mnaknywaga windhock na Heineken that means ni Tshs. 3000 kwa bia.

Kwea mwezi ni 100 Beers at minimum kwa mfano hii 300,000 kila mwezi ungekua unanunua hisa za CRDB leo ungekua na hisa ngapi?

Ni mambo mangapi umefanya kwaajili ya ulevi yakakusabishia hasara?

Ukiajiangalia kwenye kioo huoni adhari za pombe usoni mwako?

Ni dini ipi inarhusu ulevi?

Muda unaotumia kulewa ungekua unasoma vitabu leo IQ yako ingekuwa tofauti kabisa!!!

Ni mara ngapi pombe imekupeleka kwenye mchepuko.

Ni mara ngapi unatoka Mbezi unaenda kunywa Tabata? hiyo gharama ya usafiri unaipigiaga mahesabu.

Hatua ya kwanza kuacha kunywa ni kuyawaza hayo hapo juu na mengine, ukishachukua hatua sasa naacha au napumzika jiwekee malengo.

Anza mazoezi, jioni unapotoka kibaruani fanya jogging! uchoshe mwili, ukienda kuangalia mpira bar agiza chupa yako kubwa ya maji ya kilimanjaro, au coka na maji mdodo mdogo unazoea.

Hali ni ngumu wazee, tupunguze matumizi yasiyo ya lazima
Mi niliacha kwa kujiuliza swali moja ambalo ni hili "je naweza kumpa matak.o yangu mwanaume mwenzangu ayachezee"nikajijibu big No hapo hapo ni conclude kama siwezi kuwa shoga basi sitaki tena Pombe.
 
Huwa tunajidanganya sana eti Bar tunabadilishana mawazo yenye tija!! hili sikubaliani nalo kabisa kabisa ni utetezi wa kitetea pombe ambayo haina faida
Samahan mkuu,ww una hisa CRDB?
 
Mi niliacha kwa kujiuliza swali moja ambalo ni hili "je naweza kumpa matak.o yangu mwanaume mwenzangu ayachezee"nikajijibu big No hapo hapo ni conclude kama siwezi kuwa shoga basi sitaki tena Pombe.
Mkuu unaweza kufafanua kidogo hapo?.
 
Mi niliacha kwa kujiuliza swali moja ambalo ni hili "je naweza kumpa matak.o yangu mwanaume mwenzangu ayachezee"nikajijibu big No hapo hapo ni conclude kama siwezi kuwa shoga basi sitaki tena Pombe.
Kwahyo wanywaji wa pombe ni mashoga?
 
watu wasiokunywa wana stress sana hata miandiko yao imejaa stess.

Akili yake inaishia kushauri ununue hisa za CRDB.

Mwingine juzi alisema tununue mifuko ya cement.

hawana ushauri wowote hawa

Umeandika ukiwa umeshakunywa, hizi zitakuwa ni akili za pombe.

BTW, unajua kwa nini watu wasio kunywa pombe hawawezi kununua hivo vitu wanavyosema tutanunua tukiacha pombe?

Ni kwamba saving zao za pombe wana honga.
 
Yaan niache kunywa pombe na safari ndogo ndo izo zimetoka na mabalimi atayanywa nani?[emoji44][emoji44]
 
Watu wengi hudhani kuwa pombe ndio kitu kinachomaliza pesa peke yake.Waulize hao wasiokunywa pombe sana maendeleo gani kuliko wanywaji??mara nyingi unakuta wanafanana au hata mywa pombe kamzidi asiyekunywa.

Mie nadhani ,maisha ni mipango tu.Kuna wengine ili watafute pesa zaidi ni lazima watumie pesa sana ili inapopungua na akili ya luzitafuta iongezeke.

Kuna mtu mmoja alimuuliza mwenzake "unatumia shilingi ngapi kwa pombe kila siku?" "Na una miaka mingapi unakunywa pombe?"

Aliyeulizwa akajibu; "Kila siku ninakunywa bia 5 sawa na shilingi 15,000/- na nina miaka kumi na tano tangu nianze kunywa pombe".

Aliyeuliza swalia akaendelea kuuliza zaidi ;"huoni kama unapoteza pesa nyingi kila siku ambazo ungezitumia kwa maendeleo?". " kwa matumizi yako hayo ya pombe ni sawa na shilingi 450,000/- kwa mwezi , sawa na shilingi 5,400,000/- kwa mwaka. Hivyo kwa miaka hiyo 15 ambayo umekunywa pombe umetumia kiasi cha shilingi 81,000,000/- .Je, huoni kama ungekuwa haunywi pombe ungekuwa umenunua hata gari la kifahari au nyumba nzuri??

Yule bwana mnywaji akamjibu; "Wewe usiyekunywa pombe naomba unioneshe hilo gari lako la kifahari au nyumba nzuri uliyojenga."

Muuliza swali akabaki [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Pombe,pombe= mvinyo!hii kitu inalingana umri na binadamu ikipotea kodi tunapata wapi mazee.
 
Back
Top Bottom