Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
kunywa tu mkuu tena kojoa na kitandani kabisaJamaniiii nisaidiee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kunywa tu mkuu tena kojoa na kitandani kabisaJamaniiii nisaidiee
Dawa ninayo, tukubaliane kuwa tafta pesa ya kret la bia unywe hadi uflot, mimi ntachonga dili na watu wa mochwari hasa mshana jr, ntampa hata 20 elf na ntakupeleka na gari kama mfu ili uchanganywe na wafu. Utakapopata ufahamu na kuamka ujikute uko ktkt ya maiti, huo mshtuko utakufanya usinywe tenaMie ni mnywaji wa pombe huwa napenda japo sio mara kwa mara ila nikinywa nakunywa kweli jambo linalomkera mke wangu na mama yangu nataka kuacha nashindwa kwani nikikaa wiki sijaonja naona kama mgonjwa. Hivyo kama kuna mtu anajua dawa aniambie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe dada Sir God anakuonakunywa tu mkuu tena kojoa na kitandani kabisa
kweli nina dawa sitanii mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe dada Sir God anakuona
Hebu nitumie pm mkuukweli nina dawa sitanii mkuu
Unafikiri angekupa nini? TafakariHahahahahahhahahaa nipe tu
njoo pm na laki mbiliJamani hiyo dawa tunahitaji wengi mtusaidie
PM yako mbn haifanyi kazinjoo pm na laki mbili
unataka kuua mtu hapo jamaaTafuta dawa inaitwa metronidazole kunywa tembe 4 nusu saa kabla hujanywa pombe,