Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Pombe za wanaume hizo! hahhahahaaha mie siipendi saaana. Napenda pombe nyepesi nyepesi za kike
Pombe za kike ndio zipi? Maana kuna demu nilimtoa out akaagiza BALIMI.

Kwaiyo alikuwa sahihi mkuu?
 
Kwa hilo nakuunga mkono hana majivuno kabisa huyo mdada.... Afu inaonesha katembelea nchi za nje nyingi tu.....

Yupo simple and straight...
Kabisa mkuu...love u Dr. Sky Eclat (sasa hivi anakuja kukana hapa kuwa yy sio Doc. na anaishi kwa mtogole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )
 
Shost na nunua huwa sipokei vimisaada vya kipuuzi kama hivyo. Kama mwanamme akitaka kuninunulia basi "tununuliane". Hivi unajua wanaume siku hizi wapo wapo tu, anakununulia kibia kimoja huna hata mahusiano naye, then anaanza "hivi hii baa ina vyumba?" mfyuuuuuuu.
Nakunywa pesa yangu shost
Hamjaacha tuu kulalamika
 
Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
27337256_1841505225860938_5503661048073424491_n.jpg
Ndio ipo!
 
Kabisa mkuu...love u Dr. Sky Eclat (sasa hivi anakuja kukana hapa kuwa yy sio Doc. na anaishi kwa mtogole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )
Namfuatilia mara kibao kwa jukwaa la Medical kule anajua vitu vingi kweli naona wao ndio walikuwa wasomi wasomi wa mwanzo..... Ila kwenye HIV topics huwa yupo active mpaka huwa namhisi may be ana wadudu.....
 
Ahaaaaaa haaaaa....mkuu, bado hujamsoma vizuri, anapenda sana masihara!

Kuna mtu alishamjibu kuwa yy ni + ve, jus simple like that, na vitu kibao tuu, anakujibu kitu lkn ukimfatilia vizuri unakuta alikuwa anazingua tu[emoji23] [emoji23]
 
Maybe mkuu... maana hata nyuzi zake wakati mwingine huwa sizielewi nahisi huwa anakurupuka kutoka usingizini na kuandika [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Ngoja niendelee kumnyapia taratibu kipenzi cha babu Asprin.....
 
Ni miaka 4 sasa tangu niache pombe.
Sitakaa nirudie hii kitu.

Nikikumbuka nilivyokuwa naiiita
MY DEAR BOTTLE, MY LOVE ALCOHOL, na demu pembeni.

Pombe ili niifurahie ilikuwa niwe na mtoto pembeni.

Siku nilipouga kwa pombe nilipona na kuiacha kabisa.
 
Back
Top Bottom