Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Badilisha aina ya marafiki ulio nao, mwenyewe utaona, hata hivyo kama una kipato cha kutosha, kunywa kwa kiasi! Itawale pombe isikutawale wewe!!
 
wadau/wakuu wa jamvi nisaidien katika hili nataman sana kuacha pombe lakini nashindwa nifanyaje? Na je kuna dawa maalum ya kutumia ambayo inaweza nsaidia?(mi ni nywaj wa kama bia 7 na kuendelea kwa siku wakat mwingine had nazima kabisa)

kunywa maziwa ya nguruwe(samahani kama itakua haramu) yani ukinywa kidogo tu hutagusa pombe kamwe!
 
Umeshauriwa vizuri na baadhi kama akina "feki feki" hahaha.

Mi pia nimulevi ila nimeamua kupunguza maana nilikuwa kila siku lazima nimalize mzinga wa Konyagi ila kwa sasa nakunywa ijumaa au jmosi tu ili kufidia wiki nzima hehehehe maana huwa naanza jioni mpaka baadae hehehehe ....!
Anyways ilikuwa ngum sana hasa kutokana na marafiki zangu ambao kila kukicha ni laga tu hata kama hamna hela muna sign bill ili next day mulipe of which bar nyingi wana hiyo huduma hasa kwa wateja (walevi) wazuri hahahaha na hilo ndo tatizo kubwa.

Njia ingine ni kutafuta shuguri mbadala ya kukufanya uwe busy maana unazidi Kuwa idle ndo inapelekea kufikilia bar tu.

Pia jenga mazingira ya kupenda kushinda home hata kama una laki mfukoni, ukishindwa kabisa nyea nyumbani tu!

Binafsi sishauri utumie dawa kuacha pombe cha msingi ni wewe uitawale sio vinginevyo japo nahakika wengi wetu ni stress za vyanzo mbalimbali ...Mungu tusaidie!



alfredmkohiatgmaildotcom
 
Rahisi sana,
Siku ukilewa lala choo cha bar najua kesho yake utaacha tu

Wengine hugongewa yai makalioni wakianguka
 
Wadau kila nkijitahd kuacha baaada ya sku 2 -3 narudia tena yan had nashindwa kuelewa nifanye nn?
 
Dawa ya moto ni moto we ongeza kunywa tu mpaka siku uzime then kesho yake ukikuta wamekuharibu kabaang ndo itakuwa mwisho wako.
 
Sijaelewa maelezo yako yanahusianaje na komenti yangu ya awali?

Utaelewaje na wewe umelewa? Haya: Nilimaanisha hana haja ya kushauriwa chochote, ye aendelee tu, siku atakapoona ute sehemu ambayo hajazoea kuuona mbona ataacha tangu siku hiyo.
 
Dawa ya moto ni moto we ongeza kunywa tu mpaka siku uzime then kesho yake ukikuta wamekuharibu kabaang ndo itakuwa mwisho wako.

Enheee! Sasa huyu Kongosho alikuwa anielewi nini jamani mbona wengine mnaelewa falsafa! Hii ndio dawa hasa. Yaani harudii tena na akiiona tu chupa anakumbuka 'Kabaaang' anapiga mbio kuelekea nyumbani
 
Last edited by a moderator:
Wadau kila nkijitahd kuacha baaada ya sku 2 -3 narudia tena yan had nashindwa kuelewa nifanye nn?

Ngoja nikuulizie kwa wadau ni sehemu gani hapa jijini ambako wanaume hawana utani, halafu nikushauri ukinywa upite huko. Hakyanani siku moja tu ya kurudi nyumbani na ute, hunywi pombe tena.

Nini wewe bana, alikuwepo Tesha Mmarekani, yeye huyo alikuwa hawezi kulala bila kunywa. Tangu aoshwe na dokta faragha, siku hizi mbona anapata usingizi bila pombe, tena hata mchana analala.
 
Uache pombe ili iweje? Au unataka serikali ikose mapato yatokanayo na biere zako za kila siku? Ujue kuacha kwako kuta waathiri watanzania wengi sana we endelea tu mpwa na ukishindwa kabisa mtafute aliyekufundisha kunywa kisha akuelekeze namna ya kuacha

Cc: amu
 
Last edited by a moderator:
Enheee! Sasa huyu Kongosho alikuwa anielewi nini jamani mbona wengine mnaelewa falsafa! Hii ndio dawa hasa. Yaani harudii tena na akiiona tu chupa anakumbuka 'Kabaaang' anapiga mbio kuelekea nyumbani

Tatizo sio kuacha.. Anatakiwa anywe kistaarabu tu sio lazima afakamie bia kama yuko kwenye mbio za olympic...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom