Sitaki kufanya usalitiHaina mbadala we jipindue tu
Sheria ipi?Chukua sheria mkononi
We unajitesa huko, huku wajuba wanapekua vuzi....stuka kijana.Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti.
Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu?
🤭🤭🤭Uongo sio mzuri kwamba wewe binti wa kimeru huna nyege?, Au vikoba vimezimalliza?Hisia kali🙌 mambo mengi hata hizo kidogo wengine hatuna 😂😂😂
Kwamba ww huna nyege😌Nipunguzie mimi aise..🙌
Kwamba ww huna nyege
Akikate tu kidudeJiweke bize inaonekana mda mwingi upo upo tu bila kufanya kitu cha kukuweka bize.
Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti. Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu?
Sema mjini hakuna mashamba ya kulima.Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti.
Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu?
Kula mara moja kwa siku/24Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti.
Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu?