Njia za kupunguza hisia kali za tendo la ndoa

Njia za kupunguza hisia kali za tendo la ndoa

Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti.

Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu?
Piga kazi
Fanya mazoezi
Uwezo wa kifedha ukiwa unaruhusu mtumie mwenzio nauli akae hata siku mbili tatu
Mpe Mungu muda
 
Back
Top Bottom