kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,388 Reaction score 16,188 Mar 21, 2025 #21 ntuchake said: Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti. Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu? Click to expand... Wewe unahitaji maombi mkuu, kama upo Dar nenda kwa Mwamposa
ntuchake said: Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti. Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu? Click to expand... Wewe unahitaji maombi mkuu, kama upo Dar nenda kwa Mwamposa
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Mar 22, 2025 #22 Unajifanya hutak kufanya usaliti ila demu wako huko anageuzwa tuu kama samaki
Course Coordinator1 JF-Expert Member Joined Mar 20, 2025 Posts 857 Reaction score 2,341 Mar 22, 2025 #23 ntuchake said: Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti. Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu? Click to expand... Piga kazi Fanya mazoezi Uwezo wa kifedha ukiwa unaruhusu mtumie mwenzio nauli akae hata siku mbili tatu Mpe Mungu muda
ntuchake said: Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti. Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu? Click to expand... Piga kazi Fanya mazoezi Uwezo wa kifedha ukiwa unaruhusu mtumie mwenzio nauli akae hata siku mbili tatu Mpe Mungu muda
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Mar 22, 2025 #24 min -me said: Jiweke bize inaonekana mda mwingi upo upo tu bila kufanya kitu cha kukuweka bize. Click to expand... Nakazia.
min -me said: Jiweke bize inaonekana mda mwingi upo upo tu bila kufanya kitu cha kukuweka bize. Click to expand... Nakazia.