Njia za kuwezesha kupokea pesa globally nje ya binance na skrill

Njia za kuwezesha kupokea pesa globally nje ya binance na skrill

Msokwa1

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
480
Reaction score
529
Kama inavyojieleza hapo juu, naombeni msaada wa mawazo yenu wakuu
 
Sasa kwanini uepukee Binance na Skrill
 
Kama inavyojieleza hapo juu, naombeni msaada wa mawazo yenu wakuu
Pesa ni safi au chafu ?
Za betting au non betting, unapewa au unalipwa baada ya kazi.
Ukinielewa hapo njoo nikushauri.
Usitumie Neteller details same as skrill, me walipopiga chini account ya Neteller wakaunganisha na Diamond account yenye mpunga ya skrill.

Screenshot_20250601-023807.jpg
 
Back
Top Bottom