Ni kazi ngumu lakini lazima ifanyike.Ninasema CCM kuitoa ni ngumu
Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu
1. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki. Wewe basi pigania kupiga kura
2. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 hazikuwa za huru na haki basi no reform no election.
No reform no ElectionNashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu
1. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki. Wewe basi pigania kupiga kura
2. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 hazikuwa za huru na haki basi no reform no election.
Mdogo mdogo wataelewaWatanganyika wengi ni waoga na wanafiki wakubwa!
wengine ni wale wasiomjua ni nini kinaendelea.ujinga bado ni adui wa Taifa
Ni bora ibaki kuwa hivyo kuliko kufanya watu wazima kuwa watoto wadogoKwa mara ya kwanza 2025, CHADEMA haitakuwa na uwakilishi wowote Bungeni.
Aidha kwa mara ya kwanza tutaona majina ya vyama vipya Bungeni.
Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu
1. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki. Wewe basi pigania kupiga kura
2. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 hazikuwa za huru na haki basi no reform no election.
Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu
1. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki. Wewe basi pigania kupiga kura
2. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 hazikuwa za huru na haki basi no reform no election.
Ninasema CCM kuitoa ni ngumu
Inahitajika na 'nguvu ya ziada.'
Lakini kama una 'macho zaidi ya mawili' basi utakubaliana na Ukweli mchungu kwamba kuitoa CCM madarakani ni kazi rahisi Sana, ni kama kuua tembo kwa ubua!
Waingereza wana msemo wao kwamba "There is more than one way of skinning a cat "
gentleman,
gentleman,
ushirikina na ramli zenu mkazifanye huko huko ndani ya chama chenu.
waTanzania wote watashiriki uchaguzi mkuu tulivu sana wa Tanzania, utakaofanyika kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, mapema mwezi October mwaka huu2025.
mkajidanganye na kuombana pesa huko huko kwenye chama chenu ramli zenu, okey?
Nani alikuwa anaamini kama omary ally Bashir ataanguka mda utaongeaNinasema CCM kuitoa ni ngumu
Hakuna ugumu wowote ila inang'angania kwa nguvu kitu ambacho ni kinyume na Katiba na Sheria za Nchi.Ninasema CCM kuitoa ni ngumu
Gentleman,Wote kama marekebisho yatafanyika bila marekebisho msiseme wote! hata Chadema na wengine ni Watnzania wasiposhiriki uchaguzi huwezi kutumia neno "wote"