Pre GE2025 Njia zimebaki mbili tu kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu

1. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki. Wewe basi pigania kupiga kura

2. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 hazikuwa za huru na haki basi no reform no election.
 
Kwa mara ya kwanza 2025, CHADEMA haitakuwa na uwakilishi wowote Bungeni.
Aidha kwa mara ya kwanza tutaona majina ya vyama vipya Bungeni.
 
Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu

1. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki. Wewe basi pigania kupiga kura

2. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 hazikuwa za huru na haki basi no reform no election.

Watanganyika wengi ni waoga na wanafiki wakubwa!

wengine ni wale wasiojua ni nini kinaendelea.ujinga bado ni adui wa Taifa
 
Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu

1. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki. Wewe basi pigania kupiga kura

2. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 hazikuwa za huru na haki basi no reform no election.
No reform no Election
 
Machawa mnachagua njia gani mnatia huruma
ChoiceVariable
Tlaatlaah
 
Ninasema CCM kuitoa ni ngumu

Inahitajika na 'nguvu ya ziada.'

Lakini kama una 'macho zaidi ya mawili' basi utakubaliana na Ukweli mchungu kwamba kuitoa CCM madarakani ni kazi rahisi Sana, ni kama kuua tembo kwa ubua!

Waingereza wana msemo wao kwamba "There is more than one way of skinning a cat "
 
Hatujafika huko tupo njiani na kuna njia mbili. Tunafikiria sana tunakoenda tunasahau ni lazima upite njia kwenda huko. Tupo njiani sasa tukienda njia ambayo sio hatutafika. Tatizo sio Chama ni haki kwa wote wa CCM na wengine
 
Machawa mnachagua njia gani mnatia huruma
ChoiceVariable
Tlaatlaah
gentleman,
ushirikina na ramli zenu mkazifanye huko huko ndani ya chama chenu.

waTanzania wote watashiriki uchaguzi mkuu tulivu sana wa Tanzania, utakaofanyika kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, mapema mwezi October mwaka huu2025.

mkajidanganye na kuombana pesa huko huko kwenye chama chenu ramli zenu, okey? :NoGodNo:
 
Wote kama marekebisho yatafanyika bila marekebisho msiseme wote! hata Chadema na wengine ni Watnzania wasiposhiriki uchaguzi huwezi kutumia neno "wote"
 
Gentleman,
hakuna marekebisho yoyote yanatakiwa hapo,
uchaguzi ni jambo la waTanzania wote wanaostahili kupiga kura.

na kwahiyo,
october mwaka huu 2025, waTanzania wote wenye sifa na vigezo stahiki vya kikatiba watashiriki uchaguzi mkuu bila kujali makelele au mayowe ya matapeli na vibaka wowote wa kisiasa nchini :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom