Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Mimi naweza kukushauri utuklmie mlonge,mlonge ni mzuri sana katika kupambama na msongo wa mawazo,nimewahi kukumbwa na hiyo hali na suruhisho ilikuwa unga wa mlonge,
 
Kama una mtu wa kuongea nae muelezee,it helps...
Nimepitia msongo mkuu wa mawazo nikawa namuambia mdogo wangu yaliyonikuta na maujings niliyoyafanya mpaka kufikia kupata matatizo,

mdogo wangu Huniskiliza tu yeye wakati huo akiwa na miaka 18 mimi nimemzidi miaka zaidi ya 9.

Nikimaliza kuongea nae nilikuwa nahisi some rief,so kutafuta wa kuongea nae it help sometimes.
 
Hakika nitavuka
Ameen.

1: funga walau Milo miwili
2: Sali walau uamkapo na ulalapo.
3: omba walau mala moja kabla na baada ya usiku.
4: mazoezi ya kukimbia walau nusu saa jioni kabla ya mlo.
5: pita maeneo yenye maua ya rangi tofauti
6: jichanganye walau mala moja na watu usiofahamiana nao ili kupata habar mpya ambazo hujapata kuzisikia Kwa wakaribu yako
7: changia mada nyepesi nyepesi pale upatapo wasaa.

Hayo Kwa uchache
 
Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.

Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usku kucha mpaka macho yamevimba.

No shoulder to cry on, no one to sit pemben yako akakusikiliza na kukufariji.

Nyie aisee tuombeane its hard.
Mtu pekee anayeweza kukusaidia ni yule aliyewahi kupitia Hali kama yako na akavuka maana anaweza kuvaa viatu vyako,wengi watakupa pole ambayo itakupoza Kwa muda tu..Ni kweli unaweza kusoma vitabu, unaweza kugoogle na pengine kuingia youtube but you need someone wa kuzungumza nae face to face or through the phone.
 
Nimepitia msongo mkuu wa mawazo nikawa namuambia mdogo wangu yaliyonikuta na maujings niliyoyafanya mpaka kufikia kupata matatizo,

mdogo wangu Huniskiliza tu yeye wakati huo akiwa na miaka 18 mimi nimemzidi miaka zaidi ya 9.

Nikimaliza kuongea nae nilikuwa nahisi some rief,so kutafuta wa kuongea nae it help sometimes.
Ni hivyo mkuu,ukiongea kuna kamzigo fulani unakatua...hata kama tatizo halitaisha
 
Una ugonjwa wa akili seek for medical helps Muhimbili hospital kama huko psychiatric department ukaonane na specialist wa masuala mental health na psychologists wote wako pale especially kama uko dar na kama mkoani NENDA hospital ya wilaya uliyopo au mkoa uliopo.
Duh! [emoji23][emoji23][emoji23] kama ndio hivyo hizo hospitali zingeshafulika siku nyingi sana.
 
Mimi naweza kukushauri utuklmie mlonge,mlonge ni mzuri sana katika kupambama na msongo wa mawazo,nimewahi kukumbwa na hiyo hali na suruhisho ilikuwa unga wa mlonge,
Mmmmh! Ndugu, msongo wa mawazo hauna dawa zaidi ya ushauri au kukubali wewe mwenyewe kuondoa mawazo ya kile kinacho kukabili, mwenye Sonona, ili kuondoa au kupunguza hiyo hali, anza Kwa kushirikisha watu dhidi ya shida yako bila kujificha, maongezi ya watu na ushauri wao utakusaidia kuondoa au kupunguza msongo
 
Back
Top Bottom