Sina ugonjwa wa akili by the way nashukuru for concern. Ungejua kinachoendelea ungeniambia am sorryUna ugonjwa wa akili seek for medical helps Muhimbili hospital kama huko psychiatric department ukaonane na specialist wa masuala mental health na psychologists wote wako pale especially kama uko dar na kama mkoani NENDA hospital ya wilaya uliyopo au mkoa uliopo.
Shangaziii nasema uongo?? Huwa nakutwaga na hiyo halii, ila G akishanipa ile kitu rohoo inapendaa, hapo hapo nakua mzimaaaAsante studio[emoji23][emoji23]
Shukran sana. Nataka hata nikimbie km 5 jion may be itasaidiaNi lazima ujuwe chanzo chake,ukishakijua unapambana nacho,wana saikolojia wakikaa na wewe kwa muda flani watajua chanzo na kukusaidia,wengine ni watu wa kiroho waliomshiba Mungu ni msaada mzuri sana...
Binadamu tumeumbwa kwa mfano wa mpira, sometimes mpira ukijaa sana unapasuka hivyo ndio tulivyo sasa ili usipasuke inabidi upate pa kupumulia ili kupunguza hewa iliyopo ndani ya mpira nazungumzia depression,Shida ni zipi kwani?unaweza kuziweka hapa?naamini hapa utapokea zaidi ya pole
Binafsi ningekuwa naweza kuonana na mtu ningekuomba tuonane tuongee
Hauna depression. Ikipiga haswa hata msisimko hupatiShangaziii nasema uongo?? Huwa nakutwaga na hiyo halii, ila G akishanipa ile kitu rohoo inapendaa, hapo hapo nakua mzimaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So about what ma fwendiee??Its not about sex always my friend
😂😂😂😂kama daktar mwenyew ndio wew mgonjwa kazi anayoShangaziii nasema uongo?? Huwa nakutwaga na hiyo halii, ila G akishanipa ile kitu rohoo inapendaa, hapo hapo nakua mzimaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi anza kujiweka busy halafu fikiria vitu in a positive way,weka matumaini kwamba haya unayopitia yana mwisho mzuriIngekua naweza kuviweka ningeweka ila no series ya matukio. Na kuna watu wapo wataelewa kabisa sitakua anony tena
Dah nmecheka sanaKapigwe masaji
Basi Rafiki tuambie nn tatizo, ili watu wajue wakupe ushauri kutokana na tatizo lako husika.Hauna depression. Ikipiga haswa hata msisimko hupati
I will asante dear. Hata mnavyonipa mawazo hapa hujui mnanisaidia kiasi gani. Ubarikiwe mnoBasi anza kujiweka busy halafu fikiria vitu in a positive way,weka matumaini kwamba haya unayopitia yana mwisho mzuri
Sali sana
Ishu inahusiana na familia nikiongea tu kuna watu wataelewa sio kwamba sipend kuweka waziBasi Rafiki tuambie nn tatizo, ili watu wajue wakupe ushauri kutokana na tatizo lako husika.
Kama hujui depression ni dalili za ugonjwa wa akili afya YAKO ya akili INGEKUWA timamu usingesema kwenye thread yako "USIONE WATU WANAJIUA"SASA ENDELEA KUBISHA ILA YOU THAT PROBLEM NA NAKUSHAURI UENDE HOSPITAL UGONJWA WA AKILI NI KAMA UGONJWA MWINGINE TU NA SI UKICHAA WALA NINI NDIO MAANA NAKUSHAURI IVYO ,UKIAMUA. FUATA USHAURI UKIONA HAUKUFAI SAWASina ugonjwa wa akili by the way nashukuru for concern. Ungejua kinachoendelea ungeniambia am sorry
Yes itakusaidia sana,shida ya Sonona huwa inazidi sana unapokaa katika mazingira yale yale kila siku...Shukran sana. Nataka hata nikimbie km 5 jion may be itasaidia
Uko wapi?Nmeongea na simu kibao. Nnachopokea ni pole tu. Hamna hata anayesema uko wapi tuongee najieleza wee then pole yatapita basi
Hiyo hali ume-experience kwa muda gani??Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.
Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usku kucha mpaka macho yamevimba.
No shoulder to cry on, no one to sit pemben yako akakusikiliza na kukufariji.
Nyie aisee tuombeane its hard.