King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Njoo la chaz hapa tuzungumze!!Home sinza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo la chaz hapa tuzungumze!!Home sinza
Hope she understood ur advce 😀find a shoulder to put your legs on
Mbna lachaz haipo. Kuna small planet paleNjoo la chaz hapa tuzungumze!!
Nascreenshot hii asanteHuna depression, kuna vitu tu havijakaa sawa unaviwaza sana ila sio depression, depression ni kitu kizito sana tusichanganye stress na depression....
Acha kujifungia ndani toka nenda hata beach kabarizi, anza kufanya mazoezi itakusaidia kwenye kuuchosha mwili na kupata usingizi mzuri, nunua diary andika kila kitu ambacho unahisi hakipo sawa na hata kilicho sawa, andika magumu na matamu yako, ikijaa nunua nyingine na nyingine fanya kama diary ndie rafiki yako wa kumwambia vitu, siku ukipata muda unapitia kusoma unapoona hapafai tena unaweza kuchana, hiyo ina maanisha umeufunga huo ukurasa na upo tayari kuanza upya,
Kama mahusiano yanachangia wewe kua na stress basi achana na huyo mtu, jali furaha yako, na kama ni familia jiweke mbali kwa muda tafuta furaha yako mwenyewe usitegemee watu, jifunze kuignore vitu kua positive always, usiweke mafundo moyoni hapo unakaribisha unyonge, kama huna mtoto tafuta pet uishi nae awe cat, dog, bird, etc itakufanya uwe responsible na hao viumbe wana kampan nzuri sana,
Mabadiliko huanzia kwako, tanguliza furaha yako mbele kuliko chochote, wewe ni wa thamani usikubali mtu akwambie otherwise,
Hugs 🫂 & Good luck 🤍🤍
Mtego huo!!nataman hata mtu aje nyumban
Ugonjwa wa akili siyo lazima ukichaa Mkuu. Depression, anxiety and etc ni sehemu ya ugonjwa wa akiliSina ugonjwa wa akili by the way nashukuru for concern. Ungejua kinachoendelea ungeniambia am sorry
Tunalipenda jina kongwe la "la chaz" linatukumbusha mengi!!!Mbna lachaz haipo. Kuna small planet pale
Kwamba nachinja watu?Mtego huo!!
Hata me huwa inanitoke yan mzik hata kama unaupenda ila yanayoimbwa nikama huyaelewi hv kila kitu unaona kama kinakukera nadhan hyo hutokea kwa wale tusiokuwa na tabia ya kujichanganya na watu tushazoea upweke fanya utafte hata njia ya kuunda urafk na watu hata kama wako mbali inaweza kuwa hata kwenye groups za watsup ila inabd uwe na moyo maana ukiwa mgeni kwa group unaweza ona wanakutenga mawazo ya haraka ni kuleft we usikimblie kuleft jichanganye humo hata kama mada haikuhusu itakusaidia [emoji4]😀Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.
Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usku kucha mpaka macho yamevimba.
No shoulder to cry on, no one to sit pemben yako akakusikiliza na kukufariji.
Nyie aisee tuombeane its hard.
M nashindwa elewa ssTunalipenda jina kongwe la "la chaz" linatukumbusha mengi!!!
Ebwana eeh umenigusa mkuu huwa inanitokea hii ya kichwa kuuma upande mmoja (kifupi maswali yako yamenigusa)Tatizo ni mtu wa kukusikiliza na kukufariji tu?
Je ukikaa mwenyewe huongei kwa sauti na kujijibu?
Kutokana na hali ulionayo unapata maumivu ya kichwa upande mmoja?
Jana my friends waliniita mahali wao wakawa wanakunywa pombe na kupiga mziki. Nkajitahd niwe nacheza tena wimbo wa diamond na jux enjoy nafata had step. Baba wee wap nkajikuta nshakaa. Dk 10 nyng nkawaambia naondoka wakanishikilia had wakaficha pochi. Nkaipata nkaondoka bila kuaga fika home nmelia had nkavimbaHata me huwa inanitoke yan mzik hata kama unaupenda ila yanayoimbwa nikama huyaelewi hv kila kitu unaona kama kinakukera nadhan hyo hutokea kwa wale tusiokuwa na tabia ya kujichanganya na watu tushazoea upweke fanya utafte hata njia ya kuunda urafk na watu hata kama wako mbali inaweza kuwa hata kwenye groups za watsup ila inabd uwe na moyo maana ukiwa mgeni kwa group unaweza ona wanakutenga mawazo ya haraka ni kuleft we usikimblie kuleft jichanganye humo hata kama mada haikuhusu itakusaidia [emoji4]😀
Nashukuru sana dada yanguNEW girl
Mimi nafikiri achana na kuwaza ukubwa au zuito wa tatizo kuwa positive matatizo huja na kuondoka usione kuwa umeonewa amini Mungu hakupi mtihani akakunyima mbinu ya kuepukana nayo muda unaotumia kulia hebu kama muislam swali Lia hapo kwenye mkeka sema na Mungu wako"Eeh Mungu kama hili Lilikuwa jaribu langu nimelipokea n sishindani na mapenziyao basi nipe lililo la kheri niondeshee huu mtihani "
Matatizo hayajawahi kuwa makubwa kwetu Kiasi hiko Huwa yanapita wakat unalia unawaza kujiua fikiria yule Alie mahututi anapimulia mipira lakin bado anaamin atasimama Tena(hajamkosea Mungu ila kapewa jaribu je linafanana na lako?)
Kuna mwingine Yuko mtaani anaomba ana watoto wagonjwa hana chakula hanaa msaada Hana dawa ni binadamu kama wew lakinkapewa mtihani nae
Kuna mwingine kapoteza ndugu na watoto kw aajali muda huu Yuko mazikoni fikria uchungu wake lakn wanalia wananyamza wanashukuru
Jifunze kushukuru kwa yote mema na mabaya magumu na mepesi,hakuna anewezakukuponya Zaid ya nafsi Yako kuamua kukubali hesabu baraka Mungu alizokupa tangu unazaliwa je nyingi kiasi gani kias maumivu hayo yaMungu uone Dunia imekucha naomba niishie hapa
😂😂😂😂Ila cocaWee hujawahi kutwaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema hapaa shangazii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila coca