Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida nini new gal ?
Pole sana Dr naeza kuja Pm kama hutojali [emoji4]Jana my friends waliniita mahali wao wakawa wanakunywa pombe na kupiga mziki. Nkajitahd niwe nacheza tena wimbo wa diamond na jux enjoy nafata had step. Baba wee wap nkajikuta nshakaa. Dk 10 nyng nkawaambia naondoka wakanishikilia had wakaficha pochi. Nkaipata nkaondoka bila kuaga fika home nmelia had nkavimba
Dada ugonjwa wa akili si kwamba wewe unaokota makopo au umechanganyikiwa la hasha, bali hata ile hali ya akili kutofanyakazi sawasawa tayari ni tatizo.Sina ugonjwa wa akili by the way nashukuru for concern. Ungejua kinachoendelea ungeniambia am sorry
Hii nahisi itakusaidia. Huyo binti hapo chini ni kipofu na jamaa hapo chini alipoteza familia , jamaa akajikatia tamaa!!!!!!! Hakuona umuhimu wa maisha!!!!!!!!! Binti alipopata upofu, bibi yake alimwambia maneno haya:Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.
Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usku kucha mpaka macho yamevimba.
No shoulder to cry on, no one to sit pemben yako akakusikiliza na kukufariji.
Nyie aisee tuombeane its hard.
KaribuPole sana Dr naeza kuja Pm kama hutojali [emoji4]
Mnasahau haya mambo ya helaYou need to visit a psychiatrist for psychotherapy.
mbususu, utanishukuru.!Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.
Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usku kucha mpaka macho yamevimba.
No shoulder to cry on, no one to sit pemben yako akakusikiliza na kukufariji.
Nyie aisee tuombeane its hard.
Khaaa hsia zinatoka wapmbususu, utanishukuru.!
Haya mtabiri mm ni nan nikubishie mwayaWewe sema una shida ya ndoa au kuish na mwanaume... Huna sonona ni hofu ya kuonekana unazeeka bila ndoa... Wanawake mbona tunawajua akili zenu... Na kama upo singo maza basi tena imekula kwako...
Tafuta mwanaume anaye eleweka na wewe ueleweke kwake utakuja kunishukuru sana. Nipo zangu huku na zunguka zunguka tuuAisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.
Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usku kucha mpaka macho yamevimba.
No shoulder to cry on, no one to sit pemben yako akakusikiliza na kukufariji.
Nyie aisee tuombeane its hard.
Sidhan kama itasaidia hiliTafuta mwanaume anaye eleweka na wewe ueleweke kwake utakuja kunishukuru sana. Nipo zangu huku na zunguka zunguka tuu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sawa nashukuruHizo njia unazoapproach sio njia sahihi kwako kutoa dukuduku(on going conflict within you), kuna watu yakiwakuta hutumia muda kulizungumza tatzo na hii husaidia wengi.......Mtafute mentor mueleze changamoto unayoipitia.
HIk kipengele kitakyingiza tena matatizonNo shoulder to cry on, no one to sit pemben yako akakusikiliza na kukufariji.
Thank you dearUnadhani ni depression basi ni uko lonely, you don’t have anyone to talk to, kukupa company, toka hapo jichanganye nenda kwenye kusocialize na watu, kwenye makongamano ya kidini, concert etc, Kingine unaweza kuanza na small steps anza wewe kusalimia watu each morning, wakikupa positive response basi utakua ni mtu wa furaha Siku hio, ndio utaenda nayo kazini , kazini uko pia utaendelea kuwa ni mchangamfu , na ukiendelea kufanya hivyo ndiovyo utaendelea kupata postive response kazini kwa Siku hio kutokana na uchangamfu wako since watu hu avoid watu wasio na furaha, ukiwa umejifungia Dunia ya peke yako it shows to outside world, ukichangamka na watu pia huchangamka, tukipata postive feedback kutokana na hizi two-way interactions ndivyo tunavyokua na furaha, you won’t carry home the burden of being lonely