Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Ili ujue unaondokaje kwenye hali uliyonayo kwanza ujue kwanini unajisikia hivyo mfano shemeji kakuacha, biashara imedrop, kipato hakikidhi mahitaji, unaumwa kwa muda mrefu, unahisi wewe mbaya hauvutii, etc... Ukishajua kwanini karibu PM
 
Nimewahi kuwa kwenye situation kama yako, nilikuwa nina mengi yananisumbua at once yaani ile mengi haswaa, kilichonisaidia ni hakukuwa na kidonge hata kimoja humo ndani maana ndiyo hatua niliyokuwa nimefikia..!!

Niamini girlie, utavuka hapo na kila kitu kitakuwa sawa kabisa, sikuya-solve yote wala, ila I thank God kuwa time heals very quickly, sahii hata nikipitia changamoto lakini huwa sifikirii yale maamuzi tena..!!

Just talk to someone you trust, usimfiche kitu muambie ukweli wa kila kitu huwa inasaidia sana sana.!

Kubwa zaidi talk to God, talk to Him like you're talking to your very closest friend, huwa ninamuambia kila kitu mpaka nazima huko huko usingizini kwa kilio, hayatatulika at once ila mzigo utapungua na utashangaa one after another hayo matatizo yanatafuta njia ya kupungua kwenye maisha yako..!!

Nikipata nafasi ya kuwa na furaha huwa siichezei, I know how it really feels to not have one..!
Wishing you the best new gal ❤️❤️
Mungu akulinde,akutunze miaka elfu mkuu, wewe askari kweli kweli,kwa maneno Haya dada yetu atapata nguvu, faraja, tumaini,, Mimi ndani ya week Moja niliachwa, madeni yakapatikana hapohapo, mkopo nikatoswa, nikatapeliwa vitu vya watu na mpemba, nadaiwa kodi ya pango, Hayo yote ndani ya week Moja...nikatafuta dawa za kulevya thanks to God sikuji over dose but what happened nililala siku mbili bila kujitambua Mwaka 2015
 
A huge Amen to that mpendwa, ukabarikiwe pia mno,
Pole na Hongera kwa kuvuka hizo changamoto,
I'm just curious here, what happened exactly after that..?
 
A huge Amen to that mpendwa, ukabarikiwe pia mno,
Pole na Hongera kwa kuvuka hizo changamoto,
I'm just curious here, what happened exactly after that..?
Baada ya kuamka nikawaza "nilichofanya sahihi? Je matatizo yataisha Kwa hivi?? Nikifail kizembe namna hii nitamuangusha mama yangu na wapendwa" so after that I grabbed my iPhone 5 nikampgia mdeni msumbufu kuliko wote, nikamwambia Nina majanga Sina Kitu, anivumile within two weeks nitamlipa anipe pumzi nachoka kuzima simu, kujificha, akanielewa..now I'm good and sio goodie goodie kwamba sipati changamoto No, shida,tabu,matatizo lazima yatupate as long as we are alive.. Wanasema if something bad is about to happen, then it will happen... Head's up mkuu kupambana tu back against the wall...
 
Mambo yamegeuka sana, ukimwambia mtu matatizo yako, badala ya kukusikiliza anaanza kukumwagia mengine yasiyohusiana.

Hizi changamoto zinahitaji wataalam, wanaojua kusikiliza na kutafuta suluhu, wengi wetu tukiasikiliza changamoto za wengine tunaishia kuongelea zetu tu. Ndio maana ni nadra sana mimi kusema changamoto zangu kwa watu.
 
A huge Amen to that mpendwa, ukabarikiwe pia mno,
Pole na Hongera kwa kuvuka hizo changamoto,
I'm just curious here, what happened exactly after that..?
Huwa siachi kujivunia wewe mtu wangu.
Nimebarikiwa sana kuwa na mtu kama wewe.
Mungu akutunze sana fala wangu
 
Back
Top Bottom