balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Asante nawe pole pia.Pole dear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nawe pole pia.Pole dear
Naomba kama hutojali nisaidie japo nami pm tafadhali 🙏🙏 kwako umefungaKua na amani 😊🤗
Msichana yupi?🥰🥰Nimekapenda bure haka ka'sichana, Yuko very humble anavo jibu watu.
Then what is it about?Lakin yangu haihusiani na maendeleo. Am good kwenye progressing and developing
I ddnt put it in public for good reasonThen what is it about?
ShukraniWewe mtoa mada
Good gal!Nimewahi kuwa kwenye situation kama yako, nilikuwa nina mengi yananisumbua at once yaani ile mengi haswaa, kilichonisaidia ni hakukuwa na kidonge hata kimoja humo ndani maana ndiyo hatua niliyokuwa nimefikia..!!
Niamini girlie, utavuka hapo na kila kitu kitakuwa sawa kabisa, sikuya-solve yote wala, ila I thank God kuwa time heals very quickly, sahii hata nikipitia changamoto lakini huwa sifikirii yale maamuzi tena..!!
Just talk to someone you trust, usimfiche kitu muambie ukweli wa kila kitu huwa inasaidia sana sana.!
Kubwa zaidi talk to God, talk to Him like you're talking to your very closest friend, huwa ninamuambia kila kitu mpaka nazima huko huko usingizini kwa kilio, hayatatulika at once ila mzigo utapungua na utashangaa one after another hayo matatizo yanatafuta njia ya kupungua kwenye maisha yako..!!
Nikipata nafasi ya kuwa na furaha huwa siichezei, I know how it really feels to not have one..!
Wishing you the best new gal ❤️❤️
Pole sana mkuuShukrani
AsantePole sana mkuu
Kule nimepamiss sana halafu, utanipelekamo eeh'..?Za kutoka kwenye lile chimbo lako ulilorogewa?
😄
kama muislam nenda sana msikitini,kama ni mkristo tafuta kanisa la kiroho lililo karibu na kwako,then,jishikile pale kwelikweli,nenda mikesha ya usiku,jumapili shinda huko utaona faida yake,kwani kwenye mikesha unaomba mpaka unalia,,na utaanza kumpenda MUNGU kuliko icho kinachokutesa,,,,uwezi amini baada ya muda mrefu kidogo utapona kabisa!!!tofauti na ivo unaweza ukajiua kweliAisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.
Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usiku kucha mpaka macho yamevimba.
No shoulder to cry on, no one to sit pembeni yako akakusikiliza na kukufariji.
Nyie aisee tuombeane, its hard.
😃🤣🤣🙌🙌Ndugu zangu tujue kutofautisha kati ya Upwiru na Depression ,tusichanganye mambo maana wengi wana Upwiru wanasingizia Sonona😅😅
DahNdugu zangu tujue kutofautisha kati ya Upwiru na Depression ,tusichanganye mambo maana wengi wana Upwiru wanasingizia Sonona😅😅
Sasa kwa vijana wa Tanzania ni Viceversa(kinyume chake)😅😅Ukiwa na depression moja ya dalili kuu ni kupoteza hali ya kufanya tendo la ndoa(upwiru)
😂😂😂😂Sasa kwa vijana wa Tanzania ni Viceversa(kinyume chake)😅😅