Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Msongo means ubongo kuwa bize kuchakata taarifa fulani njia rahisi ni kuounguza kazi ya ubongo na kuudanyanya kambwa Hilo jambo sio lamuhimu tena au huna abari nai kioindi una udanganya (reflesh) unaweza jitahidi kusolve Hilo tatizo physical au Kama halisoviki kuwa humbe nalo

Njia hizi kadhaa zinafaa ku-reflesh ubongo ukawa mwepesi tena

1)Kuingea na mtu kumudithia kilakitu, ongea sawa na kuutoa mzigounaweza nicheki kwa hilo ukipenda ni PM nitakuwa audience wako for your health

2)Nenda Tour nakushauri DSM Zoo na mtu mfano mpenzi akiwa huna nicheki am this time

3)Massage, aise Kama unapesa nenda massage na tena mwambie ninamsongo ukifanyia massage misuri inanyinya mizigo iliyo akilini

4)Chezewa nyele na kuparazwa kichwa na mpenzi wako inaounguza mizigo akilini Kama huna wa kukuoaraza nicheki am free

5)Kumbatiana na mpenzi wako kitandani muda mrefu hata upate usingizi kabisa lazima kichwa kita reflesh also Kama huna wakukumbatia nicheki I will do it for your health
 
Nimewahi kuwa kwenye situation kama yako, nilikuwa nina mengi yananisumbua at once yaani ile mengi haswaa, kilichonisaidia ni hakukuwa na kidonge hata kimoja humo ndani maana ndiyo hatua niliyokuwa nimefikia..!!

Niamini girlie, utavuka hapo na kila kitu kitakuwa sawa kabisa, sikuya-solve yote wala, ila I thank God kuwa time heals very quickly, sahii hata nikipitia changamoto lakini huwa sifikirii yale maamuzi tena..!!

Just talk to someone you trust, usimfiche kitu muambie ukweli wa kila kitu huwa inasaidia sana sana.!

Kubwa zaidi talk to God, talk to Him like you're talking to your very closest friend, huwa ninamuambia kila kitu mpaka nazima huko huko usingizini kwa kilio, hayatatulika at once ila mzigo utapungua na utashangaa one after another hayo matatizo yanatafuta njia ya kupungua kwenye maisha yako..!!

Nikipata nafasi ya kuwa na furaha huwa siichezei, I know how it really feels to not have one..!
Wishing you the best new gal ❤️❤️
Good gal!
 
Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia.

Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usiku kucha mpaka macho yamevimba.

No shoulder to cry on, no one to sit pembeni yako akakusikiliza na kukufariji.

Nyie aisee tuombeane, its hard.
kama muislam nenda sana msikitini,kama ni mkristo tafuta kanisa la kiroho lililo karibu na kwako,then,jishikile pale kwelikweli,nenda mikesha ya usiku,jumapili shinda huko utaona faida yake,kwani kwenye mikesha unaomba mpaka unalia,,na utaanza kumpenda MUNGU kuliko icho kinachokutesa,,,,uwezi amini baada ya muda mrefu kidogo utapona kabisa!!!tofauti na ivo unaweza ukajiua kweli
 
Back
Top Bottom