Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti Eboooh
 
Kutoka 2002 mpaka 2022 ni miaka mingapi??Jumlisha miaka miwili ya dogo, atakuwa na umri gani??? Acha kukurupuka!!!
Habari za miaka achana nazo toa ushauri kwa mwenzio
 
Kumekuchaaaaaaaaa!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tenda wema uende zako..pole sana
 
Namawazo haya haya kinaniuma sijui niondoke nisirudi tena home mana uwezo ninao nijenge tuu uku uku Arusha nifanye maisha yangu kule nisirudi tena ila nawaza watoto wangu dah kinaniuma iko acha...
Mkeo amewasha taa nyekundu tayari, chukua tahadhari mapema. Maana kama wamekuficha suala kama hilo wazia ni mangapi wamekuficha? Anza kujenga assets zako na wewe mapema kama tahadhari.
 
Pole kaka. Pole tena. Nikuambie maneno machache ila yenye maana sana kwako.
"Upaswi kuendelea kuumia, watoto wa kufikia si watoto wa kuwategemea kaka. Mkeo ndiye mwenyekosa. Daima usimuamini mtu yeyote katika kufikiri na kutenda kama upendavyo. Ukiendekeza kuwaza utakufa utawaacha watoto wako."
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti Eboooh
Asikuambie mtu ukifanyiwa hivi at that age iko very stressful, usipokuwa firm unakufa mapema sana.

Na akae chonjo maana wakiona ana kidomodomo sana wanaweza fanya chochote, wanawake sometimes ni watu hatari sana.
 
Namawazo haya haya kinaniuma sijui niondoke nisirudi tena home mana uwezo ninao nijenge tuu uku uku Arusha nifanye maisha yangu kule nisirudi tena ila nawaza watoto wangu dah kinaniuma iko acha...
Kama hiyo mkeo sio mfanyakazi Anza mipango ya kuua hizo project mlizoanzisha zinazompatia pesa yaani kiufupi anzisha vikwazo vya kiuchumi hivyo ataanza mtegemea mwanae mwanae majukumu yatamzidi watagombana maana mama atageuka mzigo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe kuna wachawi humu aisee[emoji1487][emoji1487][emoji1487]
 
Dah we jamaa kumbe unatunza kumbukumbu balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Una miaka 39 sawa ila unastaafu 2045, huoni utakuwa na miaka 62!?? Hii ni chai!!!
 
Mapenzi yamliza Afande sele
 
Ok bro kaa na mkeo umweleze hoja zako zote bila kumficha,baada ya hapo tafuta njia uongee na huyo step son wako ili ujue ni kwanini anafanya hivyo labda kuna kitu wewe hukijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…