Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Haina ile mkuu....
Naona una wife mbili, ii ya watoto sita plus mmoja ...na ile ingine ya mtu tano(sjui kama alikuja kukupa kachumbari ukatia muhogo baadae). Heshima yako mkuu.
Hahahaha ile stori ya jamaa angu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana wanatutengenezea matukio hawajui humu JF kuna forensic readers kama wewe..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya jamaa angu.
 
Hata ningekuwa mimi ningejibu kama wewe ulivyojibu hapo...ningemsingizia mtu wa karibu ule uzi,huu wa leo ndo ungekuwa wangu

Kimsingi watu wachache kama nyie ndio mnafanya wengi wanaohitaji msaada kweli humu JF kupuuzwa wakianzisha nyuzi zao za kuhitaji msaada

Tafuta pesa mkuu ama kama ni mwanafunzi soma
Mwanaume hutakiwi kutafuta attentions zisizo za msingi kama hizi
Wewe nae ni kiazi umeshawai ona nimehitaji msaada JF mm ebu kafue chupi yako alafu uvae pedi yako ulale uko....
 
Sisi wanawake tunashida moja watoto wakikua wakapata kazi tunaanza kuwalisha sumu kua baba zao (hata kama ni baba mzazi) wanatutesa/walitutesa.

Maneno kama haya apewe kijana wako ambae anajua wew sio biological father ndio anakuchukia mara mbili . Pole sana . Hapo deal na mkeo akueleze ana tatizo gani na wewe.
Shukrani dada angu
 
Hesabu kidogo: una miaka 39 now, bila Shaka umezaliwa mwaka 1983, uliajiliwa mwaka 2000, ukiwa na miaka 17 tu??
Utasitaafu mwaka 2045, hyo ni miaka 23 ijayo, chukua miaka 39 uliyonayo + na 23 iliyobaki kusitaafu =59, tafta kazi yake endapo atasitaafu na miaka 59?, tukijua kazi yake nitampa ushauri
Safi vzr sana..
 
Back
Top Bottom