Njiwa kukaa juu ya bati usiku kuna maana gani

Joined
Sep 1, 2022
Posts
5
Reaction score
4
Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽

20250523_214037.jpg
 
Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽

View attachment 3343419
kajifunze animal behaviour, acha unscientiic thinking, tayari hapo umeshafikiria ushirikina. Masikani ya ndege ni high points, anatelemka tu anapolenga chakula ardhini, short of that will rest at high altitude points including tree, houses and the like
 
Afisa usalama huyo

Mimi nimeshawahi kukutana na njia ndani alipoingilia hapajulikani maana milango yote ilikuwa imefungwa mbaya zaidi nimemkuta kakaaa juu ya tv
 
Hapo ndani mmeyakanyaga mkuu, huku kitaa Mtwara kuna familia waliona njiwa amekaa kwenye angle kama hiyo kwenye picha, unaambiwa hawakumaliza wiki ile familia walianza kufa wote vifo tofauti vya kutisha mno ndani ya mwezi mmoja.
 
Acha ulongo we jamaa... Njiwa hawana hayo mambo, na kama kuna jambo baya njiwa hutoweka kabisa hilo eneo
 
Nimekupm namba ya mganga, mpigie mwambie namba umepata kwa eve.
 
Hapo ndani mmeyakanyaga mkuu, huku kitaa Mtwara kuna familia waliona njiwa amekaa kwenye angle kama hiyo kwenye picha, unaambiwa hawakumaliza wiki ile familia walianza kufa wote vifo tofauti vya kutisha mno ndani ya mwezi mmoja.
Umenichekesha Sana we jamaa🤓🤓🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom