Njiwa kukaa juu ya bati usiku kuna maana gani

Njiwa kukaa juu ya bati usiku kuna maana gani

Acha ulongo we jamaa... Njiwa hawana hayo mambo, na kama kuna jambo baya njiwa hutoweka kabisa hilo eneo
Mtoa mada atoe jina lake halisi pamoja na hao wengine wanaoishi humo ndani, Afu baada ya mwezi hv utakuja kunikumbuka 😎
 
Back
Top Bottom