Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry nilichanganya matukioHa haa kitu gani bibie?
Njiwa
Njiwa peleka salamu
Oo kwa yule wangu muhimu
Mueleze afahamu
Kwamba ninapata taabu
Hali yangu mahamumu
Oo maradhi yameni siibu
Chorus
Eewe njiwa x2
Peleka salamu
Kwa yule x2
Wangu muhimu
Usiku kucha nakesha
Oo na yeye ndiye sababu
Ewapo haji maisha
Itamfika aibu
Pendo langu halijesha
Oo ndilo lino niadhibu
Njiwa usi hadhaike
Oo nenda ulete majibu
Nenda upesi ufike
Mkimbilie swahibu
Mbele yake utamke
Oo ni yeye wa kunijibu
Ukifika tafadhali
Oo sema naye taratibu
Ukisema kwa ukali
Mambo utayaharibu
Kamwabie sina hali
Oo kufariki si ajabu
View attachment 361967
Ha haa huo ushabiki wa godoro nauogopaDada Valentina usikonde, njiwa wako alishakuja nyumbani leo hii alfajiri ila nilipotoka nje akaruka na kuicha ile barua juu ya nyumba. Kama ule ujumbe wako ndio huu, basi no sweat....njooo tu nyumbani na karibu sana. Ila usije na marafiki zako, sitaki mashabiki nyumbani, godoro langu linatosha kuwa shabiki.
Ha haa huo ushabiki wa godoro nauogopa