Njiwa


Dada Valentina usikonde, njiwa wako alishakuja nyumbani leo hii alfajiri ila nilipotoka nje akaruka na kuicha ile barua juu ya nyumba. Kama ule ujumbe wako ndio huu, basi no sweat....njooo tu nyumbani na karibu sana. Ila usije na marafiki zako, sitaki mashabiki nyumbani, godoro langu linatosha kuwa shabiki.
 
Ha haa huo ushabiki wa godoro nauogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…