Njoeni Muone Vioja

Naongezea;
Jf hakuna mwalimu, wote wanafanya kazi BOT, TRA na sehemu zingine zenye mshahara wa kuanzia milioni 5 na marupurupu meeengi.

Jf hakuna anayeweza kuishi lindi au mtwara hata siku moja! Kama akipangiwa kazi au mafunzo fulani basi hufanya kazi zake na jioni hupanda ndege kwenda kulala dar au songea na ndege hiyo humrudisha lindi asubuhi.
 
Umeandika hints; sawa hukatazwi.

Ila ingependeza iwapo ungeandika data, mfano, mwezi wa tisa, kulikuwepo na threads kadhaa na kati ya hizo za kujisifu ni kadhaa, na nyuzi za kulalamika na ujuaji n.k.

Sasa ukisema kila mtu hivi, kila mtu vile; huu bado siyo utafiti na wewe unakuwa kama hao uliowadhania siyo.

Tukianza na wewe; ni mtu unayejisifu kwamba upo real na huwa unajiweka natural tofauti na wana-JF wengine. Jambo ambalo nalo si nzuri pia.


 
sio jf tu hata mitaani,bar,kwenye daladalamakazinikuna wanaongea na simu maelezo fix ili waonekane wapo juu kumbe wanashida lukuki.
 
Wanawake wa jf wote hawatoi tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…