Njombe: Aliyeshtakiwa kwa kuwabaka Wanawake kwa zamu na kuwaingizia matango sehemu za siri ahukumiwa miaka 180 jela

Duh 27 akitoka hapo mzima kashazeeka sana afu tuko naye age moja aisee ngoja nichunge sana uselemani kumbe mahakama inatuchukulia 27 ni watu wazima.duh
Miaka 180 + 27 atakuwa amezeeka au unamaanisha nini?
 
Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemhukumu Juma Msemwa (27) na Mkazi wa Njombe, kutumikia kifungo cha miaka 180 jela kwa Makosa 6 ya ulawiti na ubakaji, ambapo kila kosa anatakiwa kwa miaka 30.

Akisoma hukumu ya kesi hiyo namba 53 ya Mwaka 2023, Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Njombe Matilda Kayombo, amesema mshtakiwa amekutwa na hatia katika makosa sita, matatu yakiwa ni ubakaji na matatu yakiwa ni makosa ya ulawiti anayodaiwa kutenda Mei 16 hadi 23, 2023 katika Mtaa wa Kihesa Kilimani Mkoani Njombe.

Hakimu Matilda ameeleza kwa mahakama imemtia hatiani baada ya kusikiliza ushahidi uliotolewa na mashahidi saba, wakiwemo waathirika wa matukio, Taarifa ya uchunguzi wa Daktari, uongozi wa Serikali ya Mtaa pamoja na Jeshi la Polisi.

Juma Msemwa anadaiwa kutenda makosa hayo kwa nyakati tofauti, baada ya kuwahadaa Wanawake watatu na kisha kuwafungia katika nyumba aliyokuwa anaishi katika Mtaa wa Kihesa, kisha kuwalawiti na kuwabaka kwa zamu usiku na mchana, zoezi lililoenda sambamba na kuwaingiza magunzi ya mahindi na matango katika sehemu za siri.

Taarifa zilizosaidia kukamatwa kwake zinaelezwa na mahakama kuwa zilitolewa na mmoja kati ya wanawake aliokuwa amewateka, ambaye alifanikiwa kutoroka na kupiga yowe kwa majirani ambao walivamia nyumbani kwa Juma na kukuta Wanawake wengine wawili wakiwa ndani.

Aidha, vilevile kulikutwa mfuko ukiwa na dawa za kienyeji, huku mahakama ikieleza kuwa sehemu ya ushahidi uliotolewa ulibainisha mtuhumiwa baada ya kuhojiwa alikiri kwamba alifanya matukio hayo akiwa anatekeleza maagizo ya mganga aliyemtaka abake Wanawake na Watoto.

Waendesha mashtaka wakiongozwa na Magdalena Whelo na Elicy James waliiomba mahakama kutoa hukumu kali kwa mtuhumiwa ili iwe funzo kwa jamii yote ikizingatiwa kwamba matukio ya ubakaji na ulawiti yamekuwa yakiongezeka Mkoani Njombe.

Mahakama imeeleza baada kujiridhisha na ushahidi uliotolewa imemhukumu Juma Msemwa kutumikia miaka 30 jela kwa kila kosa, katika makosa yote sita yaliyomtia hatiani, ambayo ni kinyume na kifungu cha sheria namba 130 kifungu kidogo cha kwanza na cha pili (e) sambamba na kifungu kidogo cha kwanza cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu Kifungu namba 16 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Hata hivyo pia adhabu hiyo ya kifungo imekwenda sambamba adhabu ya faini ambapo Juma Msemwa anatakiwa kulipa fidia ya fedha kiasi cha Shilingi Milioni moja, kwa kila muathirika wa makosa aliyoyafanya.
Huko Mbeya na Iringa kuna dogo alitomba wanawake 300 akitumia dawa za Kishirikina akiwemo Mke wa Mchungaji kanisa ambalo dogo alikuwa akisali
 
Dogo msengerema sana, acha akanyee debe
Huko mbeya wanawake ni walaini mno. Kwenye shuhuda za Davista Mata na Promover tv kuna wanaume wanakula Wanawake mpaka 500 kwa mwaka huko Mbeya na Iringa.

Wametanguluza sana Ngono mbele.

Hapa Dar kila demu unayekutana naye wa Mbeya au Iringa na njombe unakuta ana watoto wawili U watatu aliozaa kabla ya ndoa.

Sijui shida ni ile baridi au vipi.
 
Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemhukumu Juma Msemwa (27) na Mkazi wa Njombe, kutumikia kifungo cha miaka 180 jela kwa Makosa 6 ya ulawiti na ubakaji, ambapo kila kosa anatakiwa kwa miaka 30.

Akisoma hukumu ya kesi hiyo namba 53 ya Mwaka 2023, Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Njombe Matilda Kayombo, amesema mshtakiwa amekutwa na hatia katika makosa sita, matatu yakiwa ni ubakaji na matatu yakiwa ni makosa ya ulawiti anayodaiwa kutenda Mei 16 hadi 23, 2023 katika Mtaa wa Kihesa Kilimani Mkoani Njombe.

Hakimu Matilda ameeleza kwa mahakama imemtia hatiani baada ya kusikiliza ushahidi uliotolewa na mashahidi saba, wakiwemo waathirika wa matukio, Taarifa ya uchunguzi wa Daktari, uongozi wa Serikali ya Mtaa pamoja na Jeshi la Polisi.

Juma Msemwa anadaiwa kutenda makosa hayo kwa nyakati tofauti, baada ya kuwahadaa Wanawake watatu na kisha kuwafungia katika nyumba aliyokuwa anaishi katika Mtaa wa Kihesa, kisha kuwalawiti na kuwabaka kwa zamu usiku na mchana, zoezi lililoenda sambamba na kuwaingiza magunzi ya mahindi na matango katika sehemu za siri.

Taarifa zilizosaidia kukamatwa kwake zinaelezwa na mahakama kuwa zilitolewa na mmoja kati ya wanawake aliokuwa amewateka, ambaye alifanikiwa kutoroka na kupiga yowe kwa majirani ambao walivamia nyumbani kwa Juma na kukuta Wanawake wengine wawili wakiwa ndani.

Aidha, vilevile kulikutwa mfuko ukiwa na dawa za kienyeji, huku mahakama ikieleza kuwa sehemu ya ushahidi uliotolewa ulibainisha mtuhumiwa baada ya kuhojiwa alikiri kwamba alifanya matukio hayo akiwa anatekeleza maagizo ya mganga aliyemtaka abake Wanawake na Watoto.

Waendesha mashtaka wakiongozwa na Magdalena Whelo na Elicy James waliiomba mahakama kutoa hukumu kali kwa mtuhumiwa ili iwe funzo kwa jamii yote ikizingatiwa kwamba matukio ya ubakaji na ulawiti yamekuwa yakiongezeka Mkoani Njombe.

Mahakama imeeleza baada kujiridhisha na ushahidi uliotolewa imemhukumu Juma Msemwa kutumikia miaka 30 jela kwa kila kosa, katika makosa yote sita yaliyomtia hatiani, ambayo ni kinyume na kifungu cha sheria namba 130 kifungu kidogo cha kwanza na cha pili (e) sambamba na kifungu kidogo cha kwanza cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu Kifungu namba 16 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Hata hivyo pia adhabu hiyo ya kifungo imekwenda sambamba adhabu ya faini ambapo Juma Msemwa anatakiwa kulipa fidia ya fedha kiasi cha Shilingi Milioni moja, kwa kila muathirika wa makosa aliyoyafanya.
Wansema serikali haijui ushirikina sas ambona Dogo Juma Msemwa wanamuonea kwa mambo aliyotumwa na Mganga?
 
Taarifa zilizosaidia kukamatwa kwake zinaelezwa na mahakama kuwa zilitolewa na mmoja kati ya wanawake aliokuwa amewateka, ambaye alifanikiwa kutoroka na kupiga yowe kwa majirani ambao walivamia nyumbani kwa Juma na kukuta Wanawake wengine wawili wakiwa ndani.
Kwani huyo Dogo alikuwa na Bunduki kiasi cha kuteka watu watatu wazima kwa pamoja?
 
Hizi kesi zimekua nyingi sana!
Inasikitisha eti
 
Siyo miaka 180 mkuu kama ilivyoandikwa, mfano miaka 30 ulawiti, miaka 30 ubakaji, hapo atakaa gelezani miaka 30, ila anakuwa amehukumiwa miaka 60.
Nieleweshe hapa mkuu, imekaaje kisheria
 
Mnatusema na darisalama yetu ona sasa mambo mnayofanya huko mikoani
 
Wanawake watatu akawapiga tukio mtaani kabisa kwa siku kadhaa [emoji848][emoji848] hawakupiga hata kelele au kujiokoa [emoji848][emoji848]mmmmh
Atakuwa alichukua malaya na akawazingua kuwalipa, yani hata angekuwa mwanamke mmoja unamuingizaje ndani bila yeye kutaka, na siku zote hizo hapigi kelele

Kijana atakuwa ni mwenzetu humu wa uzi wa ipi sexual fantasy yako[emoji23]
 
Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemhukumu Juma Msemwa (27) na Mkazi wa Njombe, kutumikia kifungo cha miaka 180 jela kwa Makosa 6 ya ulawiti na ubakaji, ambapo kila kosa anatakiwa kwa miaka 30.

Akisoma hukumu ya kesi hiyo namba 53 ya Mwaka 2023, Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Njombe Matilda Kayombo, amesema mshtakiwa amekutwa na hatia katika makosa sita, matatu yakiwa ni ubakaji na matatu yakiwa ni makosa ya ulawiti anayodaiwa kutenda Mei 16 hadi 23, 2023 katika Mtaa wa Kihesa Kilimani Mkoani Njombe.

Hakimu Matilda ameeleza kwa mahakama imemtia hatiani baada ya kusikiliza ushahidi uliotolewa na mashahidi saba, wakiwemo waathirika wa matukio, Taarifa ya uchunguzi wa Daktari, uongozi wa Serikali ya Mtaa pamoja na Jeshi la Polisi.

Juma Msemwa anadaiwa kutenda makosa hayo kwa nyakati tofauti, baada ya kuwahadaa Wanawake watatu na kisha kuwafungia katika nyumba aliyokuwa anaishi katika Mtaa wa Kihesa, kisha kuwalawiti na kuwabaka kwa zamu usiku na mchana, zoezi lililoenda sambamba na kuwaingiza magunzi ya mahindi na matango katika sehemu za siri.

Taarifa zilizosaidia kukamatwa kwake zinaelezwa na mahakama kuwa zilitolewa na mmoja kati ya wanawake aliokuwa amewateka, ambaye alifanikiwa kutoroka na kupiga yowe kwa majirani ambao walivamia nyumbani kwa Juma na kukuta Wanawake wengine wawili wakiwa ndani.

Aidha, vilevile kulikutwa mfuko ukiwa na dawa za kienyeji, huku mahakama ikieleza kuwa sehemu ya ushahidi uliotolewa ulibainisha mtuhumiwa baada ya kuhojiwa alikiri kwamba alifanya matukio hayo akiwa anatekeleza maagizo ya mganga aliyemtaka abake Wanawake na Watoto.

Waendesha mashtaka wakiongozwa na Magdalena Whelo na Elicy James waliiomba mahakama kutoa hukumu kali kwa mtuhumiwa ili iwe funzo kwa jamii yote ikizingatiwa kwamba matukio ya ubakaji na ulawiti yamekuwa yakiongezeka Mkoani Njombe.

Mahakama imeeleza baada kujiridhisha na ushahidi uliotolewa imemhukumu Juma Msemwa kutumikia miaka 30 jela kwa kila kosa, katika makosa yote sita yaliyomtia hatiani, ambayo ni kinyume na kifungu cha sheria namba 130 kifungu kidogo cha kwanza na cha pili (e) sambamba na kifungu kidogo cha kwanza cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu Kifungu namba 16 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.

Hata hivyo pia adhabu hiyo ya kifungo imekwenda sambamba adhabu ya faini ambapo Juma Msemwa anatakiwa kulipa fidia ya fedha kiasi cha Shilingi Milioni moja, kwa kila muathirika wa makosa aliyoyafanya.
Nyiee..!!😓😓😓
 
Kwahio hapo kila kosa ni miaka 30? na anatumikia kwa pamoja, kwaufupi 6 IN 1, means atakaa ndani miaka 30? Naomba nirekebishwe kama sivyo.
Halafu huyo mganga anaachwajee?

Ataishi jela miaka 20.. Miaka jela unaishi 2/3 ya muda uliohukumiwa. Vifungo 6 vya miaka 30 vinaenda pamoja do ni miaka 30 na kwa kuwa unatumikia 2/3 maana yake ni atakaa jela kwa miaka 20
 
Back
Top Bottom