Njombe: Amuua mwanamke kwa kumtoa utumbo kwa kuingiza mkono wake njia ya haja kubwa kisa Kukataliwa Kimapenzi

Ila hii taarifa ya huyu afande haijaka sawa. Bora waendelee na uchunguzi tu.
Kwenye purukushani ya watu wasio wapenzi ingewezekana vipi mkunu kuweza kuingizwa kwenye njia ya haja kubwa hadi upite puru na kwenda hadi kwenye utumbo?
Hii ni kamba laivu.
 
Afande kaizungumzia kama komedi kdg acheke,maana aliposema kaingizwa mkono

Ova
 
Huyu afande nadhani hajui Kiswahili vizuri. Anasema " Mtuhumiwa amefanya tukio ambalo siyo zuri sana" Ukimsikiliza hadi mwisho unakereka na maongezi yake.
 
Yeah! kwa majibu wa afande lile tukio ni zuri kwa 50% na ni Baya kwa 50%.
Ametuachia watanzania kazi ya kuchagua upendede tuutakao.

Na hii ndiyo democracy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…