Njombe: Amuua mwanamke kwa kumtoa utumbo kwa kuingiza mkono wake njia ya haja kubwa kisa Kukataliwa Kimapenzi

Bwana Baltazar wa Njombe amemtoa mwanamke utumbo Kwa kuingiza mkono wake kwenye haja kubwa kisa kunyinwa papuchi.

Haijaeleweka kama marehemu alikula hela zake au laa ila Polisi wamemtia nguvuni Kwa mahojiano zaidi.

View: https://www.instagram.com/reel/DDhTUgGu0FP/?igsh=MWlpNW1vaGRkczFqbw==

Nitoe wito Kwa Serikali kuwapima watu wa Njombe Afya ya akili na pia Kupeleka wanasaikolojia Kila kata ,shuleni na hospitali zote Ili kuwa council watu hao vinginevyo wataendelea ku make headlines za Ukatili usio mithilika.

Wakati tukio Hilo halijapo Kuna mwingine huko huko Makambako Njombe amebaka Watoto 2 na mama Yako na kuwaambukiza Ukimwi na katokomea kusikojulikana.

Huu kama sio ushetani tuitaje Sasa,huo Mkoa na watu wa huko hapana Wana roho mbaya za Kikatili sana.

My Take
Tahadhari,Kaeni mbali na watu wa Njombe ni wakatili kuliko kawaida,huko Bangi ni sehemu ya mboga Hadi miaka ya karibuni ambapo Serikali ndio imekuja kukataza.

R.I.P mshangazi.

Ila hii taarifa ya huyu afande haijaka sawa. Bora waendelee na uchunguzi tu.
Kwenye purukushani ya watu wasio wapenzi ingewezekana vipi mkunu kuweza kuingizwa kwenye njia ya haja kubwa hadi upite puru na kwenda hadi kwenye utumbo?
Hii ni kamba laivu.
 
Afande kaizungumzia kama komedi kdg acheke,maana aliposema kaingizwa mkono

Ova
 
Bwana Baltazar wa Njombe amemtoa mwanamke utumbo Kwa kuingiza mkono wake kwenye haja kubwa kisa kunyinwa papuchi.

Haijaeleweka kama marehemu alikula hela zake au laa ila Polisi wamemtia nguvuni Kwa mahojiano zaidi.

View: https://www.instagram.com/reel/DDhTUgGu0FP/?igsh=MWlpNW1vaGRkczFqbw==

Nitoe wito Kwa Serikali kuwapima watu wa Njombe Afya ya akili na pia Kupeleka wanasaikolojia Kila kata ,shuleni na hospitali zote Ili kuwa council watu hao vinginevyo wataendelea ku make headlines za Ukatili usio mithilika.

Wakati tukio Hilo halijapo Kuna mwingine huko huko Makambako Njombe amebaka Watoto 2 na mama Yako na kuwaambukiza Ukimwi na katokomea kusikojulikana.

Huu kama sio ushetani tuitaje Sasa,huo Mkoa na watu wa huko hapana Wana roho mbaya za Kikatili sana.

My Take
Tahadhari,Kaeni mbali na watu wa Njombe ni wakatili kuliko kawaida,huko Bangi ni sehemu ya mboga Hadi miaka ya karibuni ambapo Serikali ndio imekuja kukataza.

R.I.P mshangazi.

Huyu afande nadhani hajui Kiswahili vizuri. Anasema " Mtuhumiwa amefanya tukio ambalo siyo zuri sana" Ukimsikiliza hadi mwisho unakereka na maongezi yake.
 
Back
Top Bottom