ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Bwana Baltazar wa Njombe amemtoa mwanamke utumbo Kwa kuingiza mkono wake kwenye haja kubwa kisa kunyinwa papuchi.
Haijaeleweka kama marehemu alikula hela zake au laa ila Polisi wamemtia nguvuni Kwa mahojiano zaidi.
--
Polisi mkoani Njombe inamshikilia Baltazari Sonyonda (33) mkazi wa Kijiji cha Iwungilo Halmashauri ya Mji Njombe kwa tuhuma za mauaji ya Mariam Clarence Ndindile (50) baada ya kuingiza mkono sehemu ya haja kubwa ya mwanamke huyo na kisha kuvuta utumbo na kuukata na kipande kukitoa nje.
Akitoa taarifa ya mwezi ya utendaji kazi wa jeshi hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema upelelezi wa awali umeonesha mtuhumiwa huyo alikuwa akimtaka kimapenzi kwa muda mrefu mwanamke huyo, na kwamba aliamua kutekeleza mauaji hayo baada ya kutokea mgogoro mdogo baina yao walipokuwa wakitoka kilabuni.
Kamanda Banga amesema polisi pia inamshikilia Neema Wikechi (21) Mkazi wa Mtaa wa Idundilanga Kata ya Njombe Mjini kwa tuhuma za kumjeruhi na kitu chenye ncha kali sehemu za siri mwanaume anaitwaye Flowin Msigwa (27), chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Polisi mkoani Njombe pia linaendelea kumsaka mwanaume mmoja mkazi wa Makambako anayedaiwa kuwabaka watoto wawili wa mke wake ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi na kuwaambukiza virusi vya ukimwi.
Watoto hao walitoa taarifa ya kufanyiwa ukatili huo kwa bibi yao walipokwenda likizo, wakidai baba yao alikuwa akiwafanyia ukatili kila mama yao anapotoka kwenda kwenye shughuli za kiuchumi.
--
Nitoe wito Kwa Serikali kuwapima watu wa Njombe Afya ya akili na pia Kupeleka wanasaikolojia Kila kata ,shuleni na hospitali zote Ili kuwa council watu hao vinginevyo wataendelea ku make headlines za Ukatili usio mithilika.
Wakati tukio Hilo halijapo Kuna mwingine huko huko Makambako Njombe amebaka Watoto 2 na mama Yako na kuwaambukiza Ukimwi na katokomea kusikojulikana.
Huu kama sio ushetani tuitaje Sasa,huo Mkoa na watu wa huko hapana Wana roho mbaya za Kikatili sana.
My Take
Tahadhari,Kaeni mbali na watu wa Njombe ni wakatili kuliko kawaida,huko Bangi ni sehemu ya mboga Hadi miaka ya karibuni ambapo Serikali ndio imekuja kukataza.
R.I.P mshangazi.
View: https://www.instagram.com/p/DDhsYURRwAb/?igsh=MThoOW94bmhzYjNiZQ==