wa ngaranga
Member
- Jun 12, 2020
- 91
- 202
Mbunda na Mgimwa walitoa wahuni wengiiii ambao nlwamekuja kuwa vichwa balaaaau sio kumbe umebukua pale kwa Mbunda haaaahaaa
Nahisi utakua mhuni mmoja Hivi maana ukisoma pale hukosi uhuni arif!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120]
Endelea kutuhabarisha yanayojiri huko mkuuHatimae mwili umewasili Leo mchana ukitokea Dar es Salaam nimepata taarifa baada ya kuufikisha nyumbani Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Sasa wanautoa na kupeleka huko ilembula inakodaiwa ndio Kuna taratibu za kiganga wanaenda mfanyia Kwa wakuu wa vilinge ndipo Sasa hatua za mazishi zifuate
mkuu unampata ticha mmoja alikua anaitwa Mshumbus pale Mtwango secondary?Mbunda na Mgimwa walitoa wahuni wengiiii ambao nlwamekuja kuwa vichwa balaaa
Kilikua kipande cha mtu hivi haaa haaa haaa kilikua mafia balaamkuu unampata ticha mmoja alikua anaitwa Mshumbus pale Mtwango secondary?
Tuliaga jana hospital ya jeshi lugalo,wakasafirisha kwenda wangama jana mchana,mazishi ni ijumaa kwa mujibu wa familia,kwa tuliopo dar safari ni alhamis usafiri utakuwepo.Endelea kutuhabarisha yanayojiri huko mkuu
Nikutakie safari njema ,utatuhabarisha ukiwa huko msibaniTuliaga jana hospital ya jeshi lugalo,wakasafirisha kwenda wangama jana mchana,mazishi ni ijumaa kwa mujibu wa familia,kwa tuliopo dar safari ni alhamis usafiri utakuwepo.
mwamba alikua anatisha Sana hatari sisi form one tulianza wanafunzi 160 hivi yule jamaa akawa anatufundisha English Sasa Ile tumelipoti tu kinjuka na mwamba ndio anahamia aisee mabala the farmer tu ikasababisha njuka 20 wakache shule maana alikua anatoa kichapo heavy kiasi kwamba kitabu chote utakichambua bila kupendaKilikua kipande cha mtu hivi haaa haaa haaa kilikua mafia balaa
Basi hatujapishana sana mimi na wewe wakati anafika nilikua form 2,bange kama maua,ulanzi kichiwa mpaka tagamenda, maandazi ya bi mahepe au kule chini kwa bi mdogo wa mzee lutengano, ugali wa mpishi mayemba na yule ticha wa kemia aliungua mdomo Ndendyamwamba alikua anatisha Sana hatari sisi form one tulianza wanafunzi 160 hivi yule jamaa akawa anatufundisha English Sasa Ile tumelipoti tu kinjuka na mwamba ndio anahamia aisee mabala the farmer tu ikasababisha njuka 20 wakache shule maana alikua anatoa kichapo heavy kiasi kwamba kitabu chote utakichambua bila kupenda
Aisee akakomaa na sisi mbaka form 4 tukamaliza watu 102 tu sababu ya yule mwamba watu walikacha shule mapema tu alikua mtu na nusu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaahaaa hatari na nusu mzee baba!Basi hatujapishana sana mimi na wewe wakati anafika nilikua form 2,bange kama maua,ulanzi kichiwa mpaka tagamenda, maandazi ya bi mahepe au kule chini kwa bi mdogo wa mzee lutengano, ugali wa mpishi mayemba na yule ticha wa kemia aliungua mdomo Ndendya
Huko sahihi kabisa.Ikumbukwe kuwa yeye si mtu wa kwanza kujijengea kaburi in advance, hilo jambo alijifunza kutoka kwa mzee Lutengano wa Mtwango, Mzee Lutengano aliwahi kuwa mkuluma maarufu miaka hiyo akimiliki tractor aina ya Ford iliyokuwa ikitumia kerosene na alidumu nayo kwa miaka mingi hadi late 80s, inasadikika kampuni ya Ford ilipata habari juu ya uwepo wa tractor hiyo kongwe kinyume na matarajio yao, hivyo kitendo cha kukitunza chombo hicho kwa miaka mingi na hata kuipa kampuni hiyo sifa kuwa inatengeneza vitu imara, kiliwafanya watengenezaji wa Ford kumpa zawadi.
Kisoso na wihala bado wapo hapo mtwango sec school?Mkuu kumbe yule mzee unampata daaa wewe utakua Mtwango unapapata vema,
Yule mzee alikua maarufu Sana enzi zile Hadi akajijengea kaburi lake lipo pale njiani Kama unaenda Mtwango Secondary mkono wa kushoto Barabara ya Makambako_ Songea !
Wihala ni afisa kilimo nadhani Morogoro na kisoso nilisikia yupo idara gani serikaliniKisoso na wihala bado wapo hapo mtwango sec school?
Walinisaidia kumlea mdogo wangu alifaulu ifunda lakn likizo alikuwa anarud njombe mtwango kwa wihalaWihala ni afisa kilimo nadhani Morogoro na kisoso nilisikia yupo idara gani serikalini
Wihala ni mtu poa sanaaaa mpaka sasa kaanza kuzeekaWalinisaidia kumlea mdogo wangu alifaulu ifunda lakn likizo alikuwa anarud njombe mtwango kwa wihala
,,,,,,MUNGU AWAJAALIE,,,,
Yaah n poa Sana mkuu alinipokea nilipoenda kuzika msiba wa PROF CHACHAGE alizikwa pale mtwango maana alikuwa mwalimu wangu profWihala ni mtu poa sanaaaa mpaka sasa kaanza kuzeeka
Mwanaye yule,ni mtoto wakaka yake ambayw ni marehemu, Andrew ni ticha ilembula nadhaniYaah n poa Sana mkuu alinipokea nilipoenda kuzika msiba wa PROF CHACHAGE alizikwa pale mtwango maana alikuwa mwalimu wangu prof
Mdogo wake ANDREW Kama sikosei unamjua na Yuko wapi?
Ngoja kesho nitawauliza wakulungwa wa pande zileYaah n poa Sana mkuu alinipokea nilipoenda kuzika msiba wa PROF CHACHAGE alizikwa pale mtwango maana alikuwa mwalimu wangu prof
Mdogo wake ANDREW Kama sikosei unamjua na Yuko wapi?
kwahiyo mganga haitwi Dr Kwa kizungu?sema vile ilivyo, mganga, muchawi wa jadi aliyenjijengea kaburi afa, huyu sio dr, heshima madaktari mkuu
Vyote nivyakubakia hapahapa.mzee ana pesa chafu huyo na alikuwa anaogopwa sana