UFUNUO WA YOHANA. SURA YA 14: MSTARI WA 13.
Biblia inasema:-
"Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao".
Yeye aliye na masikio, na asikie. Asema Bwana Mungu wa Isreal, Bwana Mungu aliyeumba wanadamu wote na vitu vyote.
THE BOOK OF REVELATION CHAPTER 14: VERSE 13.
The Bible says:-
"And I heard a voice from heaven saying unto me, Write, Blessed are the dead which die in the Lord from henceforth: Yea, saith the Spirit, that they may rest from their labours; and their works do follow them."
He that hath ears to hear, let him hear. Thus says the Lord God of Isreal, the Lord God Who created all humankind and everything.