TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

Hii timu ya Simba imesababisha vifo vingi sana kwa mashabiki wake, tofauti kabisa na Wananchi Yanga! Mifano ni mingi, muda ni mchache!

Sijui sababu ni nini!!!
Ni kwa sababu hakuna simba anayeishi mjini au kuishi na watu. Simba wanaishi porini tu ndo kuna wanyama wa kukimbiza na kuwala
 
Huyu jamaa alikuwa mshirikina haswa,hakuna mkazi yeyote yule wa buza asiyemjua.Ana mdogo wake anaitwa Sifuni naye alikuwa mchawi balaa.
 

Alikuwa mchawi balaa huyu, ukimuibia kitu anakuonesha live kwenye TV yake ya jadi.
 
Waganga wengi wa jadi ni matapeli, huwezi kuwa mganga wa jadi na ukawa bilionea, huo ubilionea kwa malipo gani kama sio kuwatapeli na kuwatisha watu kwa uongo wao?

Alikuwa Freemason pia.

Kuna mti wa kafara upo uani kwake ,hapo mbuzi anakauka ndani ya sekunde tu .
 
Bilionea mwandulami hilo pagale mil 20 huko njombe angekua ashamaliza ujenzi.
Sasa kafa na jamaa wanarara mbere na wakeze.
Tumeumbwa tofauti, hata siku moja hutamkuta babukijana akisema nimejaaliwa nna pesa nyingi sana.
Zipo ila simwambii mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…