ukiichunguza kwa makini hiyo hard top imegongwa ubavuni tena nyuma kuanzia mwisho wa cabin, na basi limepata madhara mbele tena kwenye kona ya kulia ikiwa inamaanisha dereva wa hard top alikuwa anaingia barabarani wakati huo huo basi likiwa barabara hiyo likiendelea na safari, na kama ni mahala kilipo kituo cha polisi kama inavyodaiwa basi kuna tatizo hapo kwann lisiwekwe tuta kwa ajili ya kupunguza mwendo wa vyombo vya moto pengine magari hupita kwa kasi hapo na ndo sababu ya basi kugonga cruiser ubavuni wakati ikiingia road.
Pumzikeni kwa amani officers, majeruhi mwenyezi MUNGU awajaalie uponyaji