Njombe: Askari 3 wafariki na wengine 9 kujeruhiwa katika ajali

kama na hao marafiki na majirani wanaonea wananchi kwa point ya huyu mchangiaji ni sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sawa hata siku moja, tunajiona ni wajanja kuongea hivyo lakini kumbuka katika koo ya mtanzania yeyote, kabila, jamii zetu hao watu hawakosekani.

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
 
Nasikitika wamekufa polisi wachache
 
Na kingine ambacho hujakiona ni kwamba hii land cruiser ni ktk zile zilizofanyiwa modification (vibandawazi) hizi gari hawajajali kbs usalama wa waliopanda kwenye bodi! Hakuna tofauti na mpanda boda boda!

Kama hii pickup ingekuwa na bodi yake ya kawaida madhara yangekuwa madogo, na labda ingeepusha vifo kwa askari wetu japo hawajamaa hawafuatagi sheria za usalma barabarani.

Polisi angalieni usalama wenu, sio mnakamata daladala isiyofunga mlango wakati nyinyi gari zenu hata milango hazina! Pia wengi wenu ni walevi!

Poleni"


Sent using Redmi Y2
 
Pole raia wa familia wa kwenye ajali!!!Polisi siwapi pole mmesahau majukum yenu kwenye utawala huu mnamlinda jiwe na mauaji yake mmewaacha raia na maumivu yetu!!!Mungu awamalize polisi wote kabla ya uchaguzi huu!!!
Utajimaliza kwa Chuki ndugu hata wakifa wote jeshi liko palepale wataajiriwa wengine

Kufa kwao kusikufurahishe maana hakumalizi jeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi careem hivi umewahi kuona manyanyaso ya KIBITI, IKWIRIRI? acha watangulie
 
Kuna member wanasema poleni 'polisi wetu' hahahahaha na mimi nasema poleni kwa kuondokewa na polisi wenu,,, heri abiria hawajadhurika Mungu mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…