Njombe: Baba abaka watoto na kuwaambukiza Virusi Vya UKIMWI (VVU)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia.

Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja anasoma darasa la pili mwenye umri wa miaka 7 na mwingine anasoma darasa la tatu akiwa na umri wa miaka 10, amesema chanzo cha watoto hao kufanyiwa ukatili ni mama kutumia muda mwingi kwenye shughuli za kiuchumi za kusaidia fundi ujenzi na kunywa pombe.

"Mama ameniambia watoto wote amepata akiwa Dar es Salam na baba zao ni tofauti lakini baada ya kuona maisha ni magumu ndio akarudi Makambako akawa na mshkaji wake kilabuni akawa anamkimbia kilabuni na kwenda nyumbani kutekeleza ukatili huo," amesema Nyato.

Mkuu wa Jeshi la Polisi wilaya ya Kipolisi Makambako, Omary Diwani amethibitishia kutokea kwa tukio hilo na kupata taarifa Septemba 18, 2024 baada ya bibi wa watoto kubaini wajukuu wake wamebakwa na mtuhumiwa akidaiwa kukimbia.

"Ni kweli kuna taarifa ya kufanyiwa vitendo hivyo na baba yao wa kufikia utaratibu wa kipolisi ulifanyika lakini bahati mbaya hili swala wao walitambua toka Desemba 11, 2024 sasa lilichelewa kufika kwenye mamlaka na wakati tunafanya juhudi za kumpata mtuhumiwa alitoroka," amesema Diwani.

Ili watoto hao waweze kuishi kwa amani na uangalizi mkubwa, idara ya ustawi wa jamii Makambako imewahamishia watoto kwenye kituo cha kulelea watoto yatima lengo ikiwa ni kuhakikisha wanapata huduma bora hususani chakula na dawa.
Screenshot 2024-12-12 125801.png
 
View attachment 3175142
Dah mgalatia mwenzetu. Yani hapa leo kobaaz watatucheka.

Wagalatia kibao kimetugeukia.

hydroxo Accumen Mo nyau de adriz
 
Huyu ndo ushetani Wenyewe Sasa falasi sana huyo, jitu la hovyo hovyo sana, klabuni huko mbona wapo wanawake wakubwa,
 
Aisee! ila watoto walikua wanalelewa kwenye risk kubwa sana,

Mama anashinda na mshkaji wake Kilabuni!

Atafutwe huyo Mtuhumiwa na ahukumiwe kwa mujibu wa sheria.
 
Nyie wanaume mna moto wa pekee yanu huko jehanamu.

Kina mama tujitahidi kuwalinda watoto hasa pale wakiwa chini ya miaka 18.

Yupo baba mwingine hapo mbezi yeye analala na binti zake wawili wa kuzaa mwenyewe na mama yao mzazi yumo humo humo ndani na anajua kila kitu.
 
Kwenye hili sakata, mwanamke na huyo mwanaume wote ni wapumbavu.
 
Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia.

Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja anasoma darasa la pili mwenye umri wa miaka 7 na mwingine anasoma darasa la tatu akiwa na umri wa miaka 10, amesema chanzo cha watoto hao kufanyiwa ukatili ni mama kutumia muda mwingi kwenye shughuli za kiuchumi za kusaidia fundi ujenzi na kunywa pombe.

"Mama ameniambia watoto wote amepata akiwa Dar es Salam na baba zao ni tofauti lakini baada ya kuona maisha ni magumu ndio akarudi Makambako akawa na mshkaji wake kilabuni akawa anamkimbia kilabuni na kwenda nyumbani kutekeleza ukatili huo," amesema Nyato.

Mkuu wa Jeshi la Polisi wilaya ya Kipolisi Makambako, Omary Diwani amethibitishia kutokea kwa tukio hilo na kupata taarifa Septemba 18, 2024 baada ya bibi wa watoto kubaini wajukuu wake wamebakwa na mtuhumiwa akidaiwa kukimbia.

"Ni kweli kuna taarifa ya kufanyiwa vitendo hivyo na baba yao wa kufikia utaratibu wa kipolisi ulifanyika lakini bahati mbaya hili swala wao walitambua toka Desemba 11, 2024 sasa lilichelewa kufika kwenye mamlaka na wakati tunafanya juhudi za kumpata mtuhumiwa alitoroka," amesema Diwani.

Ili watoto hao waweze kuishi kwa amani na uangalizi mkubwa, idara ya ustawi wa jamii Makambako imewahamishia watoto kwenye kituo cha kulelea watoto yatima lengo ikiwa ni kuhakikisha wanapata huduma bora hususani chakula na dawa.
View attachment 3175142
Pombe, Umalaya, uzinzi, umaskini, Ukimwi ni Tunu ya Ta
ifa kwa sasa
 
Nyie wanaume mna moto wa pekee yanu huko jehanamu.

Kina mama tujitahidi kuwalinda watoto hasa pale wakiwa chini ya miaka 18.

Yupo baba mwingine hapo mbezi yeye analala na binti zake wawili wa kuzaa mwenyewe na mama yao mzazi yumo humo humo ndani na anajua kila kitu.
Alishajua watoto kabambikiwa anajilipa maumivu ya kulea mtoto si wako
 
Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia.

Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja anasoma darasa la pili mwenye umri wa miaka 7 na mwingine anasoma darasa la tatu akiwa na umri wa miaka 10, amesema chanzo cha watoto hao kufanyiwa ukatili ni mama kutumia muda mwingi kwenye shughuli za kiuchumi za kusaidia fundi ujenzi na kunywa pombe.

"Mama ameniambia watoto wote amepata akiwa Dar es Salam na baba zao ni tofauti lakini baada ya kuona maisha ni magumu ndio akarudi Makambako akawa na mshkaji wake kilabuni akawa anamkimbia kilabuni na kwenda nyumbani kutekeleza ukatili huo," amesema Nyato.

Mkuu wa Jeshi la Polisi wilaya ya Kipolisi Makambako, Omary Diwani amethibitishia kutokea kwa tukio hilo na kupata taarifa Septemba 18, 2024 baada ya bibi wa watoto kubaini wajukuu wake wamebakwa na mtuhumiwa akidaiwa kukimbia.

"Ni kweli kuna taarifa ya kufanyiwa vitendo hivyo na baba yao wa kufikia utaratibu wa kipolisi ulifanyika lakini bahati mbaya hili swala wao walitambua toka Desemba 11, 2024 sasa lilichelewa kufika kwenye mamlaka na wakati tunafanya juhudi za kumpata mtuhumiwa alitoroka," amesema Diwani.

Ili watoto hao waweze kuishi kwa amani na uangalizi mkubwa, idara ya ustawi wa jamii Makambako imewahamishia watoto kwenye kituo cha kulelea watoto yatima lengo ikiwa ni kuhakikisha wanapata huduma bora hususani chakula na dawa.
View attachment 3175142
Haki nimelia kama wanangu vile.

Kuna watu hata humu jukwaani wanaweza kuwepo. Wana kasumba ya kuficha taarifa za ukatili wa kingono unaojiri ndani ya familia zao kwa kigezo cha kuficha aibu na kutunza undugu.

Muyaone wote matokeo ya kutochukua hatua stahiki kwa wakati...

Huyo jamaa Karma haitompa maji ya kunywa atulie
 
Back
Top Bottom