Njombe: Baba abaka watoto na kuwaambukiza Virusi Vya UKIMWI (VVU)

Hiyo mikoa ni too much, wanawake wanazaa hovyo hovyo tu wala hawafikirii kabisa fate ya matendo yao. Ndio maana Ukimwi uko juu sana miaka yote.
 
Nyie wanaume mna moto wa pekee yanu huko jehanamu.

Kina mama tujitahidi kuwalinda watoto hasa pale wakiwa chini ya miaka 18.

Yupo baba mwingine hapo mbezi yeye analala na binti zake wawili wa kuzaa mwenyewe na mama yao mzazi yumo humo humo ndani na anajua kila kitu.
Duh sio mashart ya mganga kweli.
 
Acha kunishambulia bana kumbuka nshameza dawa zangu 😆😆😆😆😅.

Nakuuliza mara nyingine tena. Je ni wewe kwenye hiyo ID avatar picha?
Dawa umemeza zipi? Mara ya mwisho kwenda kwa Doc for a new prescription lini?

Nakujibu tena, Hapana sio Mimi.
 
Nyie wanaume mna moto wa pekee yanu huko jehanamu.

Kina mama tujitahidi kuwalinda watoto hasa pale wakiwa chini ya miaka 18.

Yupo baba mwingine hapo mbezi yeye analala na binti zake wawili wa kuzaa mwenyewe na mama yao mzazi yumo humo humo ndani na anajua kila kitu.
Tupe ushahidi kama kweli huyo Baba anatembea na ma binti zake pamoja na huyo Mama yao, kama ni kweli!!
 
Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia.

Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja anasoma darasa la pili mwenye umri wa miaka 7 na mwingine anasoma darasa la tatu akiwa na umri wa miaka 10, amesema chanzo cha watoto hao kufanyiwa ukatili ni mama kutumia muda mwingi kwenye shughuli za kiuchumi za kusaidia fundi ujenzi na kunywa pombe.

"Mama ameniambia watoto wote amepata akiwa Dar es Salam na baba zao ni tofauti lakini baada ya kuona maisha ni magumu ndio akarudi Makambako akawa na mshkaji wake kilabuni akawa anamkimbia kilabuni na kwenda nyumbani kutekeleza ukatili huo," amesema Nyato.

Mkuu wa Jeshi la Polisi wilaya ya Kipolisi Makambako, Omary Diwani amethibitishia kutokea kwa tukio hilo na kupata taarifa Septemba 18, 2024 baada ya bibi wa watoto kubaini wajukuu wake wamebakwa na mtuhumiwa akidaiwa kukimbia.

"Ni kweli kuna taarifa ya kufanyiwa vitendo hivyo na baba yao wa kufikia utaratibu wa kipolisi ulifanyika lakini bahati mbaya hili swala wao walitambua toka Desemba 11, 2024 sasa lilichelewa kufika kwenye mamlaka na wakati tunafanya juhudi za kumpata mtuhumiwa alitoroka," amesema Diwani.

Ili watoto hao waweze kuishi kwa amani na uangalizi mkubwa, idara ya ustawi wa jamii Makambako imewahamishia watoto kwenye kituo cha kulelea watoto yatima lengo ikiwa ni kuhakikisha wanapata huduma bora hususani chakula na dawa.
View attachment 3175142
Njombe kumekucha sasa
 
Nyie wanaume mna moto wa pekee yanu huko jehanamu.

Kina mama tujitahidi kuwalinda watoto hasa pale wakiwa chini ya miaka 18.

Yupo baba mwingine hapo mbezi yeye analala na binti zake wawili wa kuzaa mwenyewe na mama yao mzazi yumo humo humo ndani na anajua kila kitu.
Ni makubaliano yao, hujui nn 7bu ya wao kufanya hivyo
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom