Njombe: Baba abaka watoto na kuwaambukiza Virusi Vya UKIMWI (VVU)

Daaah na dawa zenyewe za kufubaza makali ndo Trump hataki zije..wangekua wanaletewa watoto kama hawa malaika wasio na hatia..
 
...Mlevi wa Mataputai anawatorokaje Polisi ??

...Hivi 'Nanihii ' ya Mtu Mzima wa Miaka thelathini na kitu inaingiaje kwenye ' Nanhii' ya Malaika wa Miaka 7, Hata kama ilikuwa Kibamia ???? [emoji45]
 
Aisee, umasikini ni mbaya sana.
Watoto hawana hatia yeyote wanakwenda kuadhibiwa Kwa ujinga wa wazazi.

Walimwengu hawana huruma kabisa, wamegeuka wanyama kabisa.
Huyu aliyefanya haya na mama wa hao watoto inaonekana wote wana matatizo ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…