dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Dah mambo magumu jamani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri "atangazwe ameshinda na kuapishwa",ndipo tutakapo lipia taabu zote hizi anazozipata sasa!Dah mambo magumu jamani!
View attachment 1584542
Safi sana ..sasa lile jina la Dikteta uchwara limetimia na kufika penyewe haswaDah mambo magumu jamani!
View attachment 1584542
Dikteta uchwara kwisha habari yakeDah mambo magumu jamani!
View attachment 1584542
hahaa! na kwel ukisemachoSubiri "atangazwe ameshinda na kuapishwa",ndipo tutakapo lipia taabu zote hizi anazozipata sasa!
Dah mambo magumu jamani!
View attachment 1584542
Polepole yuko wapi hadi bwana ake anapigishwa magoti hadharani ?TUNDU LISSU shikilia hapo hapo maana mzee baba kapoteana
Hiki kijaa kinafiki balaa. Hakina hata aibu. Yaani kwa jinsi kinavyojipendekeza kwa Magufuli hadi kinatia aibu.yaani polepole kwa unafki ameshindikana...kamuona magu anapiga magoti na yeye kwa spidi ya umeme akawahi tukio asipitwe!!
Nilijua yeye mwenyewe kaamua Kumbe kuna maombi yalikuwa yanapitishwa lakini ata kama angepiga kwa maamuzi yake bado hakuna shida maana aombwaye utukuzwa kwa kuwa yeye kwa wakati huo ndio mtoaji.Dah mambo magumu jamani!
View attachment 1584542
Aibu naona MimiHivi vitoto ndio amepigia magoti bila shaka View attachment 1584556