Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Mbona sasa mnatuchanganya jamani? Hii ni video fake, si kweli. Huyo aliyepiga magoti siye JPM, acheni kumzushia bulldozer. Kwanza, huyo hajapiga magoti. Mkitaga kushuhudia upigaji wa Magoti ukoje, subirini siku wanaingia Kawe kumnadi yule tapeli Gwajima.

Siku hiyo labda mtashuhudia jinsi magoti halisi yanavyopigwa. Huyu alikuwa anajiandaa tu kupiga push up akajichanganya kidogo baada ya kunong'onezewa muziki wa Karatu.
 
Mbona sasa mnatuchanganya jamani? Hii ni video fake, si kweli. Huyo aliyepiga magoti siye JPM, acheni kumzushia bulldozer. Kwanza, huyo hajapiga magoti. Mkitaga kushuhudia upigaji wa Magoti ukoje, subirini siku wanaingia Kawe kumnadi yule tapeli Gwajima. Siku hiyo labda mtashuhudia jinsi magoti halisi yanavyopigwa. Huyu alikuwa anajiandaa tu kupiga push up akajichanganya kidogo baada ya kunong'onezewa muziki wa Karatu.
Karatu WANAKERA!!!!
 
Huku napo wanasugua na kuosha masufuria View attachment 1584552
Hawa jamaa kwny field ya usanii wako njema sana aisee.
Screenshot_2020-09-29-15-08-54-1.jpg
 
Back
Top Bottom