Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Kupiga magoti ni ujinga?

Akishinda mtakuja hapa kualalama mmeibiwa wakati akiomba kura kama hivi mnaona mjinga!

Bavicha ni vichwa ngumu
 
Amalizie standard Gage,na stiglers
The most corruptive(refer to Mayanga contractors and 1.5 trillion scandal),expensive and yet white elephant projects!

Tuna uelewa mkubwa na mpana, hatudanganyiki na ujinga
 
Ameomba kura kwa kupiga magoti naamini watampa kura za kishindo kikubwa sana tundu hataamini.
 
Kuna tofauti Kati mitazamo kizalendo na mitazamo ya kibeberu.

Mitazamo ya kibeberu ni hii

Reli ya mkoloni na
Ule umeme wa dowans

Magufuli kaja na mitazamo ya kizalendo

Stigler's gorge(nyerere)
Standard Gage

Kwanini akose urais?
Naona hapo kwenye stigler gorge, ufisadi wa Magufuli ameuficha kwenye jina la Nyerere.

Open ure mind kada!
 
View attachment 1584589
Walioombwa kura ni hawa wacheza chandimu
Waliombwa Kura ni hii nyomiView attachment 1584672View attachment 1584671View attachment 1584673
2020-09-18%2012%3A59%3A14_WhatsApp%20Image%202020-09-18%20at%2012.44.45.jpg
 
Acha ujuha kupiga magoti ni ishara ya unyenyekevu na uzalendo

Dkt. Magufuli ni mnyenyekevu mbele ya watanzania,anatuheshimu na anatupenda.

Hatishwi na siasa zenu zisizo na nidhamu
Sasa ulisikia wapi muuwaji wa binadam akawa mnyenyekevu?ulisikia wapi? Jambazi anaweza kunyenyekea ili kukulia taimingi Lakini jitu katiri linaloua na kufunga kwenye viroba halijui hayo usemayo
 
Back
Top Bottom