Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Mimi naamini wanasiasa wana moto wao special kwa Mungu, maana wako level nyingine kabisa wakishapata wanachotaka wanabadilika 360. halafu sijui wanaona watu wajinga au ni kweli watu wajinga. nashindwa kupata jibu kwa kweli.
 
Yako puani sasa
1601389800109.png

Walioombwa kura ni hawa wacheza chandimu
 
View attachment 1584589
Walioombwa kura ni hawa wacheza chandimu
Hiyo nyomi ni kweli haijawahi kushuhudiwa uwanja wa Samora Iringa...sijui walikusanywa wapi hawa kinda. Kweli hawa wataelewa kwa nini mgombea Urais Jamhuri ya Muungano Tanzania amewapigia magoti? Yaani wanaonekana wameduwaa na kwa mbali wanakumbuka waliyokuwa wakiyasikia kutoka kwa wazazi wao...! Lazima tukubali jamani, Mh. Tundu Antiphas Lissu anatisha!
 
Tangu tupate uhuru, mgombea wa urais, amewapigia magoti wananchi akiwaomba kura, anaesema Uchaguzi huuu ni rahisi atakuwa na matatizo Ya ubongo.

 
Back
Top Bottom