Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Amalizie standard Gage,na stiglers
Huyu si mlisema hatopiga kampeni maana kazi zake tu zinamuuza sasa mbona kadri siku za kampeni zinavyoyoyoma anazidi kuwa mpole,wakati kampeni zinaanza alikuwa anatufokea tu kana kwamba anachunga ng'ombe huko kwao Chato.
Mwambieni huyo bwana yenu Magufuli ikitokea akashinda uchaguzi aendelee na unyenyekevu huo huo sisi siyo ng'ombe wake wa Chatto ambao anaweza kutofokea,kututisha na kututandika minyeredi.