Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

Watu wamekuwa jeuri
Utakuta mwanaume anakula
Matusi na kejeli juu kutoka kwa
mke
Kuna wakati mtu anachoka,anavurugwa
Ndy hayo mtu anakatwa anawekwa kwenye roba katenganishwa mguu,kidali,kichwa nk

Ova
Aisee ndoa ni changamoto sana kwa sasa , kuna mtu aliandika uzi humu kwamba ametukanwa na mke wake tusi zito ,mke wake akimtukana ":unadhani mimi nafirwa kama wewe ? "
Yeye anadai hii ni baada ya kumuuliza mbona umechelewa ,ulikuwa wapi ?
Huyo mkewe ndio kamjibu hivyo
Sasa najaribu kufikiria kama mtu mwenye hasira za karibu kama mimi ,aisee yawezekana ningefanya kama alichofanya huyu jamaa wa Njombe
Imagine una mke kichwa panzi kama huyo ,kwanini usiende kununua panga na gunia la mkaa kuja kumfanya nyamachoma ?
Tunaishi nyakati mbovu sana wakuu ,Mungu tu atusaidie
 
Wanaosababisha haya mauaji yashamiri ni polisi
Kesi nyingi zinaripotiwa polisi lakini wanakwepa jukumu la kuzuia madhara zaidi.

Kuna issues kama tatu hivi nazijua, wahanga wameripoti polisi wakakutana na mizengwe na hakuna hatua zilizochukuliwa.

Inauma sana kuona mauaji baina ya wanandoa yanashamiri now adays
 
So kwa upande wa pili hatujui story ilikuwaje kiuhalisia ,ila wanawake wa sasa ,wengi hawajui jinsi ya kutumia midomo yao na kuishi na mwanaume , unakuta anamjibu mwanaume as if anaongea na mpuuzi mwenzake ,hapo lazima uamshe mashetani yaliyopo kwenye kichwa cha mwanaume Rijali wa kiAfrica ,kiufupi unakuwa umeyatimba , midomo ya wanawake imekuwa chanzo kikubwa cha uharibifu na majanga ndani ya ndoa
Sijui hawafundwi ?
Au ndio akili zao zimeshaharibiwa na maisha wanayoyaona kwenye movies na series za Hollywood ? Na kutaka kureplicate katika maisha ya kiAfrica ,kitu ambacho hakiwezekani
Kiufupi hili ni bomu
 
Ndoa changamoto

Ova
 
Alimkosea nini kikubwa namna hiyo mpaka amcharange namna hiyo?
Nimeogopa!
Hata wewe the bold kakuvumilia tu, ukikutana na mtu na mood zake unamletea usister duu na kujikuta umempotezea rasimali muda plus mood, unachabangwa
 
Inawezekana pisi ilikuwa inamjibu sheet jamaa,kumletea dharau
Mwamba kachoka kavurugwa kachizika
Mambo ya ndoa ya mabalaa sana
Mkuchokana ni off off tu
Bora kila mtu achukue 50 zake

Ova
Daah kweli wahuni wanachizika kweli maana mpaka amefikia kuchinja pisi yake...
 
Kama Movie la kizombi nikitengeneza video ya tukio kichwani.
Huo ndo uanaume ila uanaume halisi ni kuKATAA NDOA tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…