Uchaguzi 2020 Njombe: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Njombe: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Njombe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Njombe una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni:

Lupembe:

SWALLE EDWIN ENOSY - Amepita bila kupingwa

Makambako
Deo Sanga (CCM)

Njombe Mjini
Deodatus Mwanyika (CCM)

Makete

Festo Sanga (CCM) - Kura 24,237
Ahadi Mtweve - (CHADEMA) - Kura 5,077

Wanging'ombe
Dkt. Festo Dugange (CCM) - Kura 38,988
Adrea Luhwago (Chadema) - Kura 4,381

Ludewa: KAMONGA JOSEPH ZACHARIUS - Amepita bila kupingwa

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Lete updates ndugu Roving.
 
Mimi nitakuwa mfuatiliaji wa Michango yenu.
 
CCM hongereni watu tunaona jinsi mnavyofanya hongereni Sana. Kila lenye mwanzo Lina mwisho.
 
Back
Top Bottom