Njombe: Mtoto wa Miaka 12 akamatwa kwa tuhuma za kumlawiti Mtoto wa Miaka 10 kiasi cha kumuharibu

Njombe: Mtoto wa Miaka 12 akamatwa kwa tuhuma za kumlawiti Mtoto wa Miaka 10 kiasi cha kumuharibu

Tuhuma sio uthibitisho, sijaona mtuhumiwa alipokiri kufanya hayo pia. Wana ukaribu sana wa umri hao watoto 10 kwa 12 nashauri huyo mtuhumiwa na yeye akapimwe hali yake.

Inawezekana ikawa wote ni.wahanga wa mtu mwingine ila huyu kamtaja mwenzake sababu kwanza ni mdogo kiumri na pengine wanafanyiwa hayo pamoja na mtu mwingine.

Najaribu kuwaza ahadi ya kupewa fedha huyu aliikubali vipi au alikuwa anajiuza?, maana ni wazi huyo mtoto wa miaka 12 hana fedha yakumshawishi nayo kama alimshawishi kwa fesha basi huyo mtoto mhanga alishaanza hiyo tabia siku nyingi sana.

Watu wa saikolojia na sayansi ya uhalifu wanatakiwa sana kuhusishwa kwenye matukjo ya hivi, polisi hawapaswi kwenda na matukio ya hivi kama wana dili na wizi wa kuku au vibaka.

Hata kulitoa kwenye media hivi ni mkakati mbovu huu, haya matukio hayapaswi kwenda hewani mapema bali kwa mwaka wanatakiwa kutoa taarifa kwa umma kwa mfumo wa takwimu zaidi.

Bado tuna safari ndefu sana kama taifa.
Mimi ninakuelewa mkuu.
Kikubwa haya mambo yachunguzwe ikiwa ni pamoja na kuhusisha wataalamu wengine km wanasaikolojia ya uharifu km lilivyo pendekezo lako.
 
Mimi ninakuelewa mkuu.
Kikubwa haya mambo yachunguzwe ikiwa ni pamoja na kuhusisha wataalamu wengine km wanasaikolojia ya uharifu km lilivyo pendekezo lako.
Kabisa Mkuu. Kuna mtu walihukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji baadae ikaonekana alitajwa na binti sababu ni jirani yao. Haya mambo ni magumu sana na kuna watu wanatumia ugumu wake kukomoa wengine.

Arusha huko Monduli wazee wanapewa kesi za kubaka au kulawiti wajukuu zao, kisa hawafi vijana wauze maeneo ya ardhi. Mzee anakimbizana na kesi Mahakama hadi siku akitulia watu washauza eneo na kupotea.
 
Kabisa Mkuu. Kuna mtu walihukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji baadae ikaonekana alitajwa na binti sababu ni jirani yao. Haya mambo ni magumu sana na kuna watu wanatumia ugumu wake kukomoa wengine.

Arusha huko Monduli wazee wanapewa kesi za kubaka au kulawiti wajukuu zao, kisa hawafi vijana wauze maeneo ya ardhi. Mzee anakimbizana na kesi Mahakama hadi siku akitulia watu washauza eneo na kupotea.
Duh!
Mbona hatari kubwa sana hii!

Tumefika huko kweli,hawa vijana vipi tena?

Na tutarajie hizo tabia za hao vijana wa Monduli kusambaa kote nchini.
 
Mh Gwajima asbh nilikuwambia Twitter huko kuwa paleka mswaada bungenii sheria ibadilishwe hawa walawiti na wabakaji nao wanapewa dhamana

Ibadilishwe hi kitu taifa litakuja kuwa la walawiti
Hizo ni tuhuma kumbuka hata wewe unaweza kutuhumiwa siku moja
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mtoto wa umri wa miaka (12) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la nne (10) katika shule moja iliyopo Makambako mkoani Njombe.

Hayo yamebainishwa leo Aprili 13, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga zungumza na waandishi wa habari mkoani hapa.

Amesema tukio hilo lilitokea Aprili 4, 2024 Mtaa wa Jeshini mjini Makambako.

Amesema mwanafunzi huyo alikuwa akilawitiwa kwa ahadi ya kupewa fedha na mtuhumiwa huyo ambaye aliacha shule akiwa darasa la sita.

"Mtuhumiwa huyu anaonekana aliacha shule akiwa darasa la sita lakini amekuwa akimfanyia hivi vitendo kwa muda mrefu kwa ahadi ya kumpatia fedha," amesema Banga.

Amesema kwa muda wote huo mwanafunzi huyo hakusema kwa wazazi lakini tabia yake ilianza kubadilika baada ya kuwa anatokwa na haja kubwa na baada ya mama yake kumwadhibu, ndipo alisema kuwa anafanyiwa vitendo hivyo.

Ongezeko la matukio ya ulawiti hapa nchini Tanzania ni tatizo linalozidi kuongezeka, hususan kutokana na kuibuka kwa matikio yanayohusisha watoto, hali hii inaleta wasiwasi kwa jamii na kuathiri maendeleo ya kijamii na ustawi wa watoto.

Hii ni aina ya unyanyasaji wa kijinsia ambao unahusisha kutumia nguvu au ulaghai, na ni matukio yanayokandamiza haki za binadamu na kusababisha madhara makubwa kisaikolojia, kimwili na kijamii kwa wahusika, hususan watoto.


Mwananchi
WAFWAFUMIE FAMILLY VIZURI WAZAZI WAOO WATAKUWA NA MAJANGA KAMA HAYA
 
Dogo achunguzwe bila shaka anadamu ya kichaga ...Anyway Tigo weekend hii wanakupa Gb za kumalizia weekend 👇🏻

Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Back
Top Bottom