dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Kwamba walijuaje kuwa mkanda ni wa marehemu?Sasa hapo unachobiisha ni nin mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba walijuaje kuwa mkanda ni wa marehemu?Sasa hapo unachobiisha ni nin mkuu?
Hapana Duniani mpaka MbinguniNinajiuliza hivi akifa ccm kuna hasara yoyote?
Mkuu inaonekana unajua vizuri undani wa mauaji haya ya kutisha!! , enheee tueleze ndiyo CHADEMA mkaamua kumuua huyo kijana? Halafu TUNDU anaimba 'haki haki' aibu kubwa!! Roho ya marehemu haitamwacha salama.CHADEMA ikichukua nchi oktoba 28 italifuta jeshi la polisi , huu ujinga wa kuwanunua wagombea udiwani ulipangwa na kwamba wakikataa watapewa kesi yoyote , na hii imevuja tangu wiki 2 zilizopita eti leo ndio inatekelezwa ! Poor Polisi
Ninajiuliza hivi akifa ccm kuna hasara yoyote?
Hapo ndipo usanii wa polisi wetu unapojidhihirisha wazi wazi. Usikute mkanda huo uliwekwa tu kama wanavyobambikiziaga watu wengine madawa ya kulevya. Polisi wetu na akina Diamond et al kazini.Mpaka raha yani so smooth...
Polisi wala hawajatumia nguvu kubwa, wamefuatilia mawasiliano ya simu then wakawaokota mmoja baada ya mwingine chap.
Mpaka na mkanda wa marehemu kwenye gari yani kuonyesha jinsi wauaji walivyo malofa.
Kumbe yule aliyekuwa anamtishia ben saanane kwenye sms pia angeweza kupatikans kwa urahisi hivi?
Na ile gari aliyoitajaga lissu kuwa inamfuatilia ingeweza kupelekea watuhumiwa kujulikana ndani ya siku kadhaa?
Labda mikoa inapishana uwezo wa kiuchunguzi. Hongereni Njombe mko fit.
Kilichotafutwa ni ushahidi...mkanda ukachomekewa duuMkanda wa marehemu kwenye gari ya mgombea udiwani wa Chadema!! Ebu Polisi kuweni serious basi msilete isidingo kama ya watekaji wa Mo, kumbukeni Rais aliwaambia watanzania sio wajinga.
Manunuzi manunuzi manunuziNikiona mtu wa CHADEMA amani huwa inaniisha,wao wanaamini njia kuuu ya kusuruhisha mambo ni kuwa,ona sasa wanaenda kufia jela,na hata kama watatoka sio Leo au kesho,wataonja joto la jiwe
Siasa za namna hii hazifai hata kidogo,
Manunuzi hayo ndugu kuna siri ipo wazi wanaogopa tu kusema.Isidingo....
Kada wa CCM alifuata nini kwenye gari la chadema? alikuwa na mahusiano gani na madiwani wote hao wa chadema kipindi hiki cha kampeni?
Mbinu mpya zikoje hebu tufahamishe, lazima mchezee kichapo cha kisheria huu ujinga wenue wa kujifanya mko juu ya sheria. Kisanga kikitokea unavuna mwenyewe, tunawaambia acheni ushabiki wa kijinga wa kujifanya mko juu ya sheria. Leo boss wenu lISSU anafundishwa namna ya kuheshimu sheria za nchi, akitoka huko atakuwa amepata digree ya uaminifu. Jinga kabisaMbona hizi mbinu ni za zamani sana?
Tanzania has a long journey to go kama ni hivi!.
Mbona watu wanasahau kwamba kuna Mungu ambaye kila mtu atasimama mbele zake baada ya kufa ambako ni mara moja tu?
Tutumai elevator gani ili akili za watu wenye dhamana za uongozi wapande kiwango?
Ni nani role model wa fikra duni namna hii?
Ohh My Country Tanzania!. I m Crying for you my Mama land!. God, have mercy on us in Jesus Name!. We need you God. Is only you who can rescue my Country!. We need you Heavenly father.
Mungu naomba Umtume malaika Raguel kwenye nchi ya Tanzania aje kusimama katika haki na kweli juu ya shauri hili. Katika Jina la Yesu Kristo aliye hai nimeomba . Watu wote tuseme Amen.
Usitoe hukumu ndg. Kwenye haya matukio huwa kunakuwa na figisu nyingi sana. Unakumbuka ksi ya Abdul Nondo na suala la kujiteka? Serikali ikaumbuka mchana kweupe. Acha sheria ichukue mkondo wakeSiasa imewadanganya madiwani
Umbambike kesi diwani ili iweje?