Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Wazazi wana majukumu mengine pia na sio kufuatilia mtoto muda wote.Na ili mzazi afanye Majukumu yake lazma awekewe mkakati wa kumlazimisha afanye kazi yake. Kwanin mtoto asiende shule? Kama Kuna dharura kwanini asiombewe ruhusa? Hiv makazini kwetu tunaweza kuacha kwenda siku nzima bila kutoa taarifa au vile wazazi hawajui umuhim wa elimu. Hata huyo mbunge wao alipaswa kwanza kukemea utoro wa watoto. Na Kama mbunge kaumia Sana alipaswa kujitolea kuwalipa hao walimu wa kujitolea. Vinginevyo watoro wasiopenda shule wawasomeshe wanaopenda shule Kama inawauma wabadilike au waache shule kabisa hapo shule itabidi watafute namna nyingine ya kupata hela Ila angalau tatzo la utoro limeisha.
Sio kila mtu ana maisha ya kazi yaani kwenda na kurudi then mwisho wa mwezi mshahara, hapana.
Bali toka uende ukatafute au familia ilale njaa.
Unadhani mzazi wa hivyo atapata wapi muda wa kuangalia mtoto?
Unatakiwa ujue this isn't america bali ni nchi iliyojaa masikini na ndio maana hao watoto wapo kata.
Walimu kujitolea sio kitu kibaya lakini wanatakiwa wajue again this isn't america bali hii ni nchi ambayo wananchi asilimia kubwa ni masikini na watu kwa siku wanashindia chini ya nusu dollar wewe unategemea nini hapo?
Na ndio sababu watoto wao wapo kata.
Hivyo ni lazima wapinge hicho kitu kivyovyote vile.
Hili la kulipa walimu na kuajiri ni jukumu la serikali na sio wananchi.
Mwananchi analeta mtoto wake shule ya kata sababu hana pesa sasa ukianza kumcharge pesa kwa sababu ya utoro kitu ambacho ni nonsense even to think about it lazima ajiulize what the hell is happening here.
Sababu kama wangekuwa na pesa basi watoto wao wangekuwa wanapanda basi la njano kwenda private school.
Na hili la kulipa pesa sababu ya utoro litachochea utoro mara mbili na watoto wengi wataacha shule kwenda mitaani, kumbuka hao ni watoto na wanatakiwa kurekebishwa au umuache shule labda baadae akikua atabadirika kutokana na exposure.
Considering tatizo la utoro halimuathiri yoyote zaidi ya mlengwa which is not sensible ukisema "kutatua tatizo la utoro".
Umejiuliza nini kitatokea in 20 years kwa hao watoto wa kike na wakiume walioacha shule?
Ni Anarchy and Chaos.