Njombe: Wanafunzi watoro walipishwa Tsh. 5,000 kwa kila siku wasiyofika shuleni

Wazazi wana majukumu mengine pia na sio kufuatilia mtoto muda wote.
Sio kila mtu ana maisha ya kazi yaani kwenda na kurudi then mwisho wa mwezi mshahara, hapana.
Bali toka uende ukatafute au familia ilale njaa.

Unadhani mzazi wa hivyo atapata wapi muda wa kuangalia mtoto?
Unatakiwa ujue this isn't america bali ni nchi iliyojaa masikini na ndio maana hao watoto wapo kata.

Walimu kujitolea sio kitu kibaya lakini wanatakiwa wajue again this isn't america bali hii ni nchi ambayo wananchi asilimia kubwa ni masikini na watu kwa siku wanashindia chini ya nusu dollar wewe unategemea nini hapo?
Na ndio sababu watoto wao wapo kata.
Hivyo ni lazima wapinge hicho kitu kivyovyote vile.

Hili la kulipa walimu na kuajiri ni jukumu la serikali na sio wananchi.
Mwananchi analeta mtoto wake shule ya kata sababu hana pesa sasa ukianza kumcharge pesa kwa sababu ya utoro kitu ambacho ni nonsense even to think about it lazima ajiulize what the hell is happening here.

Sababu kama wangekuwa na pesa basi watoto wao wangekuwa wanapanda basi la njano kwenda private school.

Na hili la kulipa pesa sababu ya utoro litachochea utoro mara mbili na watoto wengi wataacha shule kwenda mitaani, kumbuka hao ni watoto na wanatakiwa kurekebishwa au umuache shule labda baadae akikua atabadirika kutokana na exposure.
Considering tatizo la utoro halimuathiri yoyote zaidi ya mlengwa which is not sensible ukisema "kutatua tatizo la utoro".

Umejiuliza nini kitatokea in 20 years kwa hao watoto wa kike na wakiume walioacha shule?

Ni Anarchy and Chaos.
 
Mimi nashauri mtoto mtoro shuleni afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi na faini ya shilingi laki moja kila siku.
 
unataka kumaanisha Nini kwa mfano?
If I'm not mistaken. I remembered you said that you're really good in English because your English teacher was a bitter and a real stick in the mud.

So I asked where did all that get you?
You know I expected you to answer my question in English but you didn't.

So as far as I'm concerned all of that didn't get you anywhere.
 
Mkuu hapo sio bitter Kama pilipili
Halafu kingine huyo mwalimu hakutufundisha English Ili tubattle na mtu just experience na tujue kusoma mabango na road sign tu mkuu sipendi tufike Huko maana tutakimbiana humu!
😁😁😁😁
 
Tsh 10,000 ni nyingi sana . Kumbuka shule inawanafunzi zaidi ya 400 . Wanafunzi 400*10,000. Na je mwalimu mmoja kwa mwaka analipwa sh ? Walimu wapo wawili tu. Bado kuna hela za watoto kushinda shule. Hapo kuna upigaji mkubwa wa hela. Kama Elimu ni bure hizi ada ni zanini
 
We kuna watoto wengine watukutu, wavuta bangi huoni kwamba mzazi anaonewa hapo? Au umesoma FEZA ndugu
Kuvuta bangi na utukutu hakuwezi kukawa sababu ya kuto kwenda shule na ukachekewa utoro lazima ukomeshwe kwa namna yeyote hata ikibidi kwa gharama, kuto kwenda shule ndio chanzo cha kuongeza div. 0 shulen. Hao wazazi waache kulalamika wawasimamie watoto wao wawe wahudhuriaji wazuri shuleni ili wasikose vipindi na wafanye vyema mitihan
 
Yaan wewe kweli ni mujinga na huelewi kinacho jadiliwa hapa na ujuaji ndio umekujaa
 
Inasaidia kupunguza utoro, na kuwakumbusha wazazi wajibu wao (kuhakikisha mtoto kaenda skonga)
 
Utopolo kama huu huwezi kusikia mikoa ya kaskazini mana wazazi wanajielewa sana. Hawakwepi majukumu.

Sasa nyie mazwazwa msio jielewa ni kutandikwa mikwaju matakoni nyinyi na watoto wenu tena kwenye mkutano wa kijiji ili akili ziwakae sawa.

Waswahili bila kutandikwa mikwaju mambo hayaendi maana akili zimegandamana.

Eti limzazi linatetea utoro wa mwanae.
Tena ningekuwa mimi wallayh ningewalipisha hata elfu hamsini nyambafu
 
Mkuu nimekupata sana. We una elimu kubwa hakika.
Kuna majitu humu yanajitoa ufahamu kutetea utoro wa watoto wao.

Kwa halinhii elimu itafika lini huko?

Ndio maana nilipendekeza wazazi nao watwngwe mikwaju mitanomitano matakoni ili iwe fundisho
 
Sasa kama mnakataa elimu nyinyi na watoto wenu kwanini msiendelee kufia kwenye huo umaskini unao usema.

Yaani nyie kazi kutia mimba kufurahia utelezi tu, halafu majukumu yote ya mwanao ikusaidie serikali kweli?

Ukijua kuzaa jiandae na kulea pia.
 
Ulichoandika ni Nonsense au naweza sema pumba.
 
Sasa kama mnakataa elimu nyinyi na watoto wenu kwanini msiendelee kufia kwenye huo umaskini unao usema.

Yaani nyie kazi kutia mimba kufurahia utelezi tu, halafu majukumu yote ya mwanao ikusaidie serikali kweli?

Ukijua kuzaa jiandae na kulea pia.
Hivi unatambua kwamba Tanzania nzima ni masikini?

Now stay back and take a shit then say I'll die before I talk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…